Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Mkuu habari yakoMorning all kapuku
Mkuu habari yakoMorning all kapuku
Asante mkuu weekend njema. Tunasubiri kutangazwa bingwa.Sina la ziada kutoka magazetini kwa leo, kwa udhamini mnono wa Sakayo mwana wa T,
Jumamos njema
Mkuu umeamkajeMorning Makapuku. Siku njema
Wale Waadventista muwe na Sabato njema
morning!Morning all kapuku
pomoja bitozi na wewe week end yako iwe bomba uko![]()
Muwe na week end njema
.........
Mrisho Cumbo......
Umeamkaje kamandamorning!
Mkuu umeamkaje
Oooh sawa mzee wa saa mpyaNimeamka salama sana mdau. Aksante.
Ila neno mkuu niliachana nalo nilioposhushwa cheo.
Niite mzee wa saa mpya.
Wewe umeamkaje lakini