EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Tupo.Makapuku Forum
Tupo.Makapuku Forum
Mm bado mdogo siyajui ya huko..Kwani vitandani huwa wanafanya nini?
1991 - Wananchi wa Croatia wanapiga kura ya kudai Uhuru wao.
Mbona jana ulinichinjia mtoni?Pamoja mkuu..
2007 - Rais wa Romania, Traian Basescu ananusurika kupoteza wadhifa wake wa Urais na kurudi ofisini kuendelea na wadhifa wake.
Ni baada ya wananchi kupiga kura ya kutokuwa na imani nae, ila alifanikiwa kushinda na kubakia kwenye kiti chake.
Mkuu. Uko mzima lakini?Nashukuru kwa kuniwakilisha
Kumbe alikuwa kimada, kumualika kama msanii ilikuwa vunga tu.![]()
![]()
![]()
![]()
Picha zinaonyesha kimada wake(Marilyn Monroe) alihudhuria na hata kuhutubia
.......
Hahaaaa..Mbona jana ulinichinjia mtoni?
1925 - Malcom X anazaliwa.
Alikuwa ni mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Marekani.
Aliuwawa na watu wasiojulikana, ingawa kuna tuhuma FBI chini ya Edgar Hoover waliratibu mauaji hayo.
R I P1994 - Jacqueline Kennedy anafariki Dunia.
Alikuwa ni mke wa zamani wa Rais wa Marekani John F. Kennedy.
Ila hatujitambui, wananufaika wengine.![]()
![]()
Ila Afrika ndo bara lenye wanuamapori wa ukweli
.....
Ni kama Gambo na Lema.
Wamisri na Wayahudi huwa hawapatani![]()
......
Jitahidi leo iwe.Hahaaaa..
Tulia mkuu..vibes za jana zilikuwa unstopable