shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Hii kampeni ya Leo sijaielewa
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Hii kampeni ya Leo sijaielewa
Hii kampeni ya Leo sijaielewa
Duh aiseeWeeee, bora uendelee kuumwa tu ila habari ya kumpa saa lazima kuwepo masharti, tena naona hata mahakama itapendelea tunatafuta mganga mmoja anatulisha yamini.
Akinimwaga anarudisha saa
Usiogope[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Nzuri mkuuAsante mkuu habari ya kibaha
mm sipo sitaki dhambiHii kampeni ya Leo sijaielewa
Mkuu mi niko katikati maana yule ni dadangu..wewe si chama cha upinzani, utaielwaje sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya kuchanjiana damu hivi bado yapo hayo mamboWeeee, bora uendelee kuumwa tu ila habari ya kumpa saa lazima kuwepo masharti, tena naona hata mahakama itapendelea tunatafuta mganga mmoja anatulisha yamini.
Akinimwaga anarudisha saa
Nimependa huo utamaduni wenu.Sisi ukoo mzima tuna utamaduni wa kukutana kijijini kwetu pamoja tukiwa na wanafamilia kila mwishoni au mwanzoni mwa kila mwaka
Hata sherehe zetu za harusi ni palepale kwa babu zetu hata uwe Profesa na hela zako
Ndo utaratibu tuliojiwekea
.........
Inatuchanganya bhanaainakuudhi au bora ukae kimya hivyo unavyoongea kuhusu hii avatar nitakua siitoi kabisa
Asante kwa neno mama mchungaji[emoji524] ZABURI 63
6.Ninapokukumbuka kitandani mwangu,Nakutafakari wewe makesha yote ya usiku.
[emoji324] Unapolala unatafakari nini?
Je unatafakari shida?dhiki tabu,magonjwa,misiba,kukosa,kufukuzwa kazi,kukataliwa
[emoji523] Usiku wa leo mwambie Mungu ASANTE pamoja na mapito yote na misukosuko ya maisha ,kuuguliwa,tabu kukosa chakula lipo jambo kubwa ambalo Mungu anaendelea kufanya katika maisha yako ambalo utaliona pale utakapomtafakari yeye tu na kumshukuru...Mshukuru Mungu kwa kila jambo naendelea kumtafakari usiku wa leo kwa matendo yake makuu ya upendo na wema.
TUOMBE
Asante Baba kwa wema wako,tunajikabidhi mikononi mwako huku tukiutafakari wema na fadhili zako.
Tunaomba ulinzi wako na uwe nasi malaika walinzi watuzunguke katika vitanda vyetu akitusaidia kukutafakri na kutupa ulinzi wa mwili na roho.
Tunaomba utuamshe salama na utupe amani ya mwili na roho..utupe matumaini.
Tunawakabidhi kwako wagonjwa,yatima,wafiwa naomba faraja itawale.
Naomba katika jina la Yesu mpatanishi na mwokozi wetu
AMEN
.
MBARIKIWE USIKU MWEMA[emoji7] [emoji7]
Pole Mungu akuponye mwili na roho[emoji120]niliwamiss sana binamu nilikua naumwa vipi unaendeleaje mama mchuchu vipi anaendeleaje
Ameen mama mchuchu [emoji120][emoji524] ZABURI 63
6.Ninapokukumbuka kitandani mwangu,Nakutafakari wewe makesha yote ya usiku.
[emoji324] Unapolala unatafakari nini?
Je unatafakari shida?dhiki tabu,magonjwa,misiba,kukosa,kufukuzwa kazi,kukataliwa
[emoji523] Usiku wa leo mwambie Mungu ASANTE pamoja na mapito yote na misukosuko ya maisha ,kuuguliwa,tabu kukosa chakula lipo jambo kubwa ambalo Mungu anaendelea kufanya katika maisha yako ambalo utaliona pale utakapomtafakari yeye tu na kumshukuru...Mshukuru Mungu kwa kila jambo naendelea kumtafakari usiku wa leo kwa matendo yake makuu ya upendo na wema.
TUOMBE
Asante Baba kwa wema wako,tunajikabidhi mikononi mwako huku tukiutafakari wema na fadhili zako.
Tunaomba ulinzi wako na uwe nasi malaika walinzi watuzunguke katika vitanda vyetu akitusaidia kukutafakri na kutupa ulinzi wa mwili na roho.
Tunaomba utuamshe salama na utupe amani ya mwili na roho..utupe matumaini.
Tunawakabidhi kwako wagonjwa,yatima,wafiwa naomba faraja itawale.
Naomba katika jina la Yesu mpatanishi na mwokozi wetu
AMEN
.
MBARIKIWE USIKU MWEMA[emoji7] [emoji7]
Yapo sana tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya kuchanjiana damu hivi bado yapo hayo mambo
Sawa mkuu dada sijamwona yuko wapiNzuri mkuu
mm sipo sitaki dhambi
Pole sana ShunieAmeen kaka [emoji120]
lee si hayupo inakuchanganyaje sasaInatuchanganya bhanaa
Sawa dadamm sipo sitaki dhambi