shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Atakuwa nachukua mazoezi binamu yako...duh, nitaruka weweweeee, afu umejuaje, ikiwa kweli nakutabiria uganga
Atakuwa nachukua mazoezi binamu yako...duh, nitaruka weweweeee, afu umejuaje, ikiwa kweli nakutabiria uganga
hahahhahah...tumshurutishe atoe talaka
na mishikaki na zile salad aisee mda sana hukoNipo forodhani hapa mji mkongwe nakula samaki tu
Mkuu nipo ila nilikuwa nimetingwa na kazi za hapa mjini sijatoka hata kidogoNzuri mkuu, najua leo ndio umerudi Mbeya
Inabidi tuanzishe kampeni aiseeutarukaje binamu yaan sipati picha na saa atapewa
Unataka Dada ampige chini mkongo ili binamu yako amchukuemimi ndio
hapana shemela kwenye kampeni mm sitakuepo ukimfanyia ubaya mwenzio ujue yatakurudia vile vileInabidi tuanzishe kampeni aisee
Shunie ataandaa slogani ya kuhakikisha mama mchungaji analejea kwako...tumshurutishe atoe talaka
utarukaje binamu yaan sipati picha na saa atapewa
mm sijasema hivyo ni binamu ndio ameongeaUnataka Dada ampige chini mkongo ili binamu yako amchukue
shemela mm sipo sitaki dhambi kabisa mm mwenyewe jana nimekanwa sitakiShunie ataandaa slogani ya kuhakikisha mama mchungaji analejea kwako
Sana yaani burudani sana aisee, jamaa wanajua kutengeneza samaki acha kabisana mishikaki na zile salad aisee mda sana huko
Hongera kwa kaziMkuu nipo ila nilikuwa nimetingwa na kazi za hapa mjini sijatoka hata kidogo
Ha hahahah, saa kupewa hadi tukaandikishane mahakamani ili akiniacha anairudisha maana mimi siwezi kumuacha



binamu jamaan ujue bado naumwa usinichekeshe hivyo
napajua hapo ni pazuriSana yaani burudani sana aisee, jamaa wanajua kutengeneza samaki acha kabisa
Hii kampeni ya Leo sijaielewaShunie ataandaa slogani ya kuhakikisha mama mchungaji analejea kwako
Sawa mkuumm sijasema hivyo ni binamu ndio ameongea
Eti eeh?Kupendwa raha jamaniii
binamu jamaan ujue bado naumwa usinichekeshe hivyo
Asante mkuu habari ya kibahaHongera kwa kazi