Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji120] [emoji120] nashkuru sana kwa sala Mungu azidi kumbariki mama mchuchuYako poa, mama mchungaji alisali kwa ajili yako
[emoji120] [emoji120] nashkuru sana kwa sala Mungu azidi kumbariki mama mchuchuYako poa, mama mchungaji alisali kwa ajili yako
Nzuri mkuu, najua leo ndio umerudi MbeyaSawa usijali mkuu
Mzima za siku mbili tatu
Sikuwepo hewani kama siku tatu hivi ndo maana nimepitwa na mengi...kwani na wewe huwa unakuwa wa mwisho kupata habari? Basi kama umeisikia kwanza tena kutoka kwangu basi jua tu hii habari BH kubadili dini siyo ya kweli. Ni uongo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapenzi yana nguvu sana mpk unataka kujifunza
leo najua week end si imeanza mzee wa kinyerezi upo makhirikhiriJana nililala mapema sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu roho yako ipo kwa mama mchuchu natamani siku mama mchuchu akukubalie tu amuache mukongo
Sijui mukongo kama atakubali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu roho yako ipo kwa mama mchuchu natamani siku mama mchuchu akukubalie tu amuache mukongo
Tutamfundisha nitamwambia Dada amfundishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapenzi yana nguvu sana mpk unataka kujifunza
safi sana shemela ndio inavyotakiwa pendaneni tu hakuna namna ingine[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eti urojo unakuwa Una ladha gani vile
Ni mpaka mraji auonje ndio aseme ladha yakeEti urojo unakuwa Una ladha gani vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utarukaje binamu yaan sipati picha na saa atapewa...duh, nitaruka weweweeee, afu umejuaje, ikiwa kweli nakutabiria uganga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui mukongo kama atakubali
Asante shemela, karibu tenajaman najua shemela wangu unavyonipenda nimerudi jinenepee tu
Shunie shunie nakuona nakuo na[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu roho yako ipo kwa mama mchuchu natamani siku mama mchuchu akukubalie tu amuache mukongo
ya ugwadu flani hiviEti urojo unakuwa Una ladha gani vile
Nipo forodhani hapa mji mkongwe nakula samaki tuleo najua week end si imeanza mzee wa kinyerezi upo makhirikhiri
asante sana shemela wanguAsante shemela, karibu tena
Na pole kwa kuumwa
mimi ndioShunie shunie nakuona nakuo na