Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
shemela lee wako leerapaWangejua tuu lee mweusi kama nini.. hahahaaa
Hayo mambo ya kukutana..oohh
Niko hapa London Bridge nimevaa White shirt..
Ooh, niko Golden Stone nimevaa gauni la njano.. [emoji23][emoji23][emoji23]
After 3minutes.. namba haipatikani tena...
Hahahaaa...
lee wa kwangu mm ni mwarabu sio mweusi kila siku nakwambia lee sio mweusi au unataka kumbadilisha rangi [emoji134]