shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Morning ipogolo, za iringaMorning Shululu.
Morning ipogolo, za iringaMorning Shululu.
Nzuri Shululu.Morning ipogolo, za iringa
Amen ubarikiweMITHALI 18
10.Jina la BWANA ni NGOME IMARA mwenye haki huikimbilia akawa SALAMA.
Neno
likawe faraja yako siku ya jumatatu ya leo na wiki nzima BWANA MUNGU awe ngome yako IMARA katika jina la YESU LIPITALO MAJINA YOTE AMEN
![]()
TUOMBE
Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu wetu kwa ulinzi wake usiku kucha,umetukinga na mengi Baba asante,tunaomba ulinzi wako katika familia zetu na baraka zako katika kazi za mikono yetu,Tunawaombea uponyaji wagonjwa hasa ndugu yetu SHIMBA YA BUYENZE anayesumbuka na jino,wafiwa,yatima na wajane wasipungukiwe,wasafiri nchi kavu,majini,angani akiwemo SHIMBA WA BUYENZE wafike salama damu ya Yesu iwafunike,Tunawaombea watumishi wa Mungu watumike sawasawa na mapenzi yako,kutana na hitaji la kila mmoja wetu Baba maana ulisema Ombeni nanyi mtapewa Mathayo 7:7,Bariki Makapuku wote na tuwe mfano mzuri kwa wengine na watu wazidi kukujua wewe Mfalme wa Amani.Tubariki tuingiapo na tutokapo
Tunaomba yote katika jina la Yesu .
Amen
MBARIKIWE SIKU NJEMA![]()
![]()
Indi mkafu dada utwaukwoMwaghona kaka mwalamusha?
Njema za hapo ulipo dadaSalama kaka za uzima ubarikiwe
Hongera kwa mapambazukoMvua hamna, ila jana ilinyesha sana mchana
Asante, nawe piaHongera kwa mapambazuko
Tununu kakaIndi mkafu dada utwaukwo
Njema Mungu ni mwema kwetuNjema za hapo ulipo dada
Yaani duniani kuna watu wa aina nyingi sana, na ndiyo maana tunaamini kwamba kuna Mungu. Kama roho za binadamu zingekuwa zinashikiliwa na binadamu wenzao, bila shaka wengine wangeshakuwa marehemu kitambo sana. Sasa huyu naye si Mungu anamvumilia binadamu wenzake tungeweza kweli?Af wewe!!! Acha mazinguzi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Haonekani tangu Jana
Ahsante kwa Sara mzuriZABURI 143
8.Unifanye kusikia fadhili zako asubuhi ,Kwa maana nimekutumainia Wewe Unijulishe njia nitakayoiendea ,Kwa maana nakuinulia nafsi yangu.
TUOMBE
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi asante kwa siku mpya ya leo na kutuamsha salama,wapo watu wengi walitamani kuiona siku ya leo walikua na mipango mingi na maono mbalimbali lakini hawajaweza ,wengine umewaita,wengine ni mahututi vitandani,wengine wanachangamoto mbalimbali Baba sisi ni nani hatuna cha kukupa zaidi ya kusema Asante![]()
Tunaomba utusamehe makosa yote tunayotenda kwa mawazo maneno na matendo uturehemu twa kusihi.
Waponye wagonjwa,fariji wafiwa,watie nguvu yatima,wajane ,wahitaji wakutumainie wewe tu.
Tunakabidhi mapito yetu yote,nyoosha njia zetu Baba tunajikabidhi kwako tujulishe njia sahihi ya kuiendea siku yaleo
Tunaomba maafa ya mvua yaishe ponya majeraha yote ya mafuriko,maporomoko,mvua isiyokoma ,neema yako itawale.
Bariki wasafiri majini ,nchi kavu na angani wafike salama
Tunaomba Amani na Upendo vitawale
Tunaomba bariki kazi za mikono yetu
Tunaomba Roho Mtakatifu atuongoze ,tusipungukiwe.
Katika jina la Yesu tunaomba na kushukuru Amen
Raha ya milele uwape marehemu wote,na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa Amani Amen
SIKU NJEMA WAPENDWA![]()
![]()
![]()
Poa mkuu.Haonekani tangu Jana
Ngoja nilete
........
Karibu,ubarikiweAhsante kwa Sara mzuri
Hongera sana Abd Al RahmanLEO KATIKA HISTORIA
--![]()
![]()
756-- Abd Al Rahman anatangazwa kuwa Emiri/Amir/Mfalme wa Cordoba huko Uhispania
........