BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Asante Serengeti boys kwa udhamini wa magazeti wabarikiwe

...wee vipi ishukuru kalamu ya red iliyoshikwa na husna muba ikaandika uliyosoma, mungu ahusiki hata kidogo

asante mkuu kwa magazineView attachment 509842Kwa udhamini mnono wa serengeti boys, sina la ziada kutoka magazetini, siku njema
Karibu makapuku, kwa kuanzia 'wholesome water' yaani maji ya jumla ni maji yenye kujumlisha potable water na palatable water.
Potable water yanatokana na maji yaliyo kwenye mtungi, yaani a pot, haya mara nyingi huwa yamechemshwa, kuwekewa 'shabu', yananuka moshi lakini hayana shida kunywa.
Palatable wota ni maji ambayo hayana hivyo nilivyotaja hapo juu, haya yako kwenye mazingira mazuri hayana harufu wala ladha yoyote ni maji tena ni ya bure (kwa sauti ya Kingwendu)

We ulie tuuSijiu niandike nini ili nisionekane nina wivu, enewi, yote maisha, wakati unalilia kupendwa, mwingine anapendwa kifurukutwa yaani hadi maua, flowers.

3 Yohana 1

Monie tooMorning family
amen3 Yohana 1
2.Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yako yote na kuwa na afya yako ,kama vile roho yako ifanikiwavyo.
TUOMBE
Asante Baba kutufikisha umbali huu.
Tunaomba toba kwa yote tunayokosea.
Bariki kazi za mikono yetu
Ponya wagonjwa ,watie nguvu wafiwa,wajane na yatima
Ponya familia na uzifanikishe katika afya,mwili na roho.
Tembea nasi siku ya leo
Roho Mtakatifu tuongoze tupe hekima katika kila jambo
Asante Baba kwa kuwa unatupenda na unatufanikisha
Najua utafanya sawasawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu naomba na kushukuru.
Amen
Siku njema wapendwa Mfanikiwe kama neno lisemavyo,hiyo ni ahadi ya Mungu kwetu.Hivyo ni haki yetu tukiri mafanikio Amen![]()
![]()
Shukrani mkuuView attachment 509842Kwa udhamini mnono wa serengeti boys, sina la ziada kutoka magazetini, siku njema
" Wanawake 2 ,kikongwe wauawa " Huu uandishi wa kisasa mmh!
labda in tyiping erorNjema sana mefurai kukuonamakapuku habar za saivi
Amen mamii3 Yohana 1
2.Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yako yote na kuwa na afya yako ,kama vile roho yako ifanikiwavyo.
TUOMBE
Asante Baba kutufikisha umbali huu.
Tunaomba toba kwa yote tunayokosea.
Bariki kazi za mikono yetu
Ponya wagonjwa ,watie nguvu wafiwa,wajane na yatima
Ponya familia na uzifanikishe katika afya,mwili na roho.
Tembea nasi siku ya leo
Roho Mtakatifu tuongoze tupe hekima katika kila jambo
Asante Baba kwa kuwa unatupenda na unatufanikisha
Najua utafanya sawasawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu naomba na kushukuru.
Amen
Siku njema wapendwa Mfanikiwe kama neno lisemavyo,hiyo ni ahadi ya Mungu kwetu.Hivyo ni haki yetu tukiri mafanikio Amen![]()
![]()
Morning mama mchungajiMorning mkuu Shululu za uzima![]()
Afande shedede niajemakapuku habar za saivi
Asante kwa kuyapitia mama mchungajiAmen asante kwa magazeti ubarikiwe![]()
Pamoja sana shededeasante mkuu kwa magazine
Amen, Asante kwa neno mama mtumishi3 Yohana 1