Makapuku Forum

Makapuku Forum

ZABURI 46

1.Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso

2.Kwahiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi,Ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari.

3.Maji yake yajapovuma na kuumuka,ijapopepesuka milima kwa kiburi chake

TUOMBE

Tunakushukuru Baba kwa ulinzi wako mchana kutwa Wewe ndiye kimbilio na nguvu yetu,msaada wa kila jambo tunajikabidhi mikononi mwako usiku wa leo utukinge na hatari mbalimbali na ajali mbalimbali,mkono wako ukatukumbatie kama kuku anavyokumbatia vifaranga,tunakwenda kinyume na nguvu zotevza giza ,tunaomba malaika walinzi wakawe nasi usiku kucha.
tuliza wafiwa,yatima wagonjwa,bariki kila mipango tunayopanga tusipungukiwe.
Mapenzi yako yatimie.
Tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu amen

USIKU MWEMA MBARIKIWE
Nawe pia usiku mwema mama mchungaji
Na ufunikwe na damu ya Yesu
 
Asante kwa maombi, ubarikiwe sana.

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
 
IMG-20170516-WA0022.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom