Makapuku Forum

Makapuku Forum

Santeee ngoja nikupe kimoja cha asubui uchangamke
Pono? Rekodini kabisa mkanda mzima muweke hapa tuburudike. Malimbukeni wa mapenzi bwana! Mwanamke aliyefundwa na hadhi yake kabisa anatamka hadharani mambo ya faragha na mumewe? Twisted and shameful couple

️Ndege yangu imeanza ku-board. Off to Addis. Najua mtanisimanga sana wakati sipo. Nitawacheki jioni na kuwajibu umbea wenu. Be careful and bye for now. Much love!
 
....unamtaka Husna nini ong'hwise naona umeumia kusikia shedede anapewa utukufu wa asubuhi ha hahhahhha

Flight njema
 
Aaaa wapi? Mlinzi mwenyewe alikuwa anapotea mpaka hata wiki haonekani lindoni. Sema tu nilihamishia "mashambulizi" Kigali na Uhabeshi. Hata sasa niko safarini kuelekea huko KIKAZI.
594335eb8ca86fd4bb24d69cc1fe40bf.jpg
Kapendeza hongera SHIMBA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom