BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Baada ya kutunyonya vya kutosha![]()
![]()
1820--Bunge la Marekani linaitangaza biashara ya utumwa kuwa ni haramu
Baada ya kutunyonya vya kutosha![]()
![]()
1820--Bunge la Marekani linaitangaza biashara ya utumwa kuwa ni haramu
Wameanza zamani,hongera zao![]()
![]()
1963--Chombo maalumu kilichombeba Gordon Cooper kitarushwa kwenda kwenye sayari ya Mercury
......
Pole Mungu akupe wepesi wa shughuli zako ,ubarikiwe
Aisee![]()
![]()
1958--Umoja wa nchi za Kisoviet unarusha angani chombo kiitwacho Sputnik iii
.....
Asante bitoz kwa leo katika historiaWakuu tukutane usiku kwenye 10 kubwa ambayo itachelewa kuwajia kutokana na uwepo wa mechi ya {b]AFCON U--17[/b] kati ya Mali v Tanzania itakayoaanza saa 17:30 na kuoneshwa LIVE kupitia ZBC2
Niwatakie siku njema
..........
Ahsante pia kwa magazetiAsante bitoz kwa leo katika historia
Shwari uko poa?!Habari zenu ndugu zangu
Kweli kabisamuwe na siku njema...!! na wiki njema yenye baraka teleView attachment 509498

Nawe pia ubarikiwemuwe na siku njema...!! na wiki njema yenye baraka teleView attachment 509498
Njema mzima?Habari zenu ndugu zangu
Wana pesa nyingi za silaha na vita sisi huku tunakufa na njaa,magonjwa,elimu duni Mungu atusaide kwakweli![]()
![]()
1958--Umoja wa nchi za Kisoviet unarusha angani chombo kiitwacho Sputnik iii
.....
Mbaya!But why?![]()
![]()
1972--Kijana wa umri wa miaka 21 Arthur Bremer anampiga risasi gavana Geoerge Wallace huko Maryland
......