Makapuku Forum

Makapuku Forum

Pono? Rekodini kabisa mkanda mzima muweke hapa tuburudike. Malimbukeni wa mapenzi bwana! Mwanamke aliyefundwa na hadhi yake kabisa anatamka hadharani mambo ya faragha na mumewe? Twisted and shameful couple

️Ndege yangu imeanza ku-board. Off to Addis. Najua mtanisimanga sana wakati sipo. Nitawacheki jioni na kuwajibu umbea wenu. Be careful and bye for now. Much love!
Siku njema mkuu,naamini Mungu anaendelea kukuimarisha uwe na siku na safari njema ubarikiwe
 
MITHALI 18

10.Jina la BWANA ni NGOME IMARA mwenye haki huikimbilia akawa SALAMA.

Neno likawe faraja yako siku ya jumatatu ya leo na wiki nzima BWANA MUNGU awe ngome yako IMARA katika jina la YESU LIPITALO MAJINA YOTE AMEN

TUOMBE

Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu wetu kwa ulinzi wake usiku kucha,umetukinga na mengi Baba asante,tunaomba ulinzi wako katika familia zetu na baraka zako katika kazi za mikono yetu,Tunawaombea uponyaji wagonjwa hasa ndugu yetu SHIMBA YA BUYENZE anayesumbuka na jino,wafiwa,yatima na wajane wasipungukiwe,wasafiri nchi kavu,majini,angani akiwemo SHIMBA WA BUYENZE wafike salama damu ya Yesu iwafunike,Tunawaombea watumishi wa Mungu watumike sawasawa na mapenzi yako,kutana na hitaji la kila mmoja wetu Baba maana ulisema Ombeni nanyi mtapewa Mathayo 7:7,Bariki Makapuku wote na tuwe mfano mzuri kwa wengine na watu wazidi kukujua wewe Mfalme wa Amani.Tubariki tuingiapo na tutokapo
Tunaomba yote katika jina la Yesu .

Amen

MBARIKIWE SIKU NJEMA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom