Makapuku Forum

Makapuku Forum

fea937f0f86490b9a662806c6a7eac05.jpg

Safi sana Liver
Bora ArsayNO akose top 4
Kila siku anatalii tu UEFA akae pembeni sasa ajifunze kwa Chelsea last season walivyokosa top 4
Sio kila siku kufungwa 8 au 10
.
.
Man Utd tujibebee Europa
.......
hakuna kitu kibaya kuona watu wanahangaika wakati bingwa tayari ashapatikana
[HASHTAG]#chelseafchampion[/HASHTAG]
 
Ndio wajifunze timing
Yaani wamekula hasara matikiti yanapenda maji/mvua hivyo yamestawi fresh hadi kurundikana sokoni na kuoza
.........
Tatizo mambo ya kilimo hayahitaji uige ukuiga lazima utakichukia kilimo
Kilimo inatakiwa uwe tayari kwa lolote lile na ujue kulima kwa mahesabu makubwa ukulima kwa kuwa Fulani analima utajikuta umetupa hela yako tu
 
Yaani yaleyale ya kuiga
Jirani akiuza Ice cream na ww unauza
Akianzisha ufugaji wa kuku na ww unafuga

.....
 
wakuu natanguliza salaam... wakubwa na wadogo heshima kwenu viongozii

nawashukuru sana familia hii pendwa kwa love ya kutosha mnenifikisha hapa nilipo ..i thanks all

japo ubize unakuwa mwingi ila tukibahatisha network kama hivi cha kwanza ni kujua familia inaendaje ..

love you all ...japo nimeskip pages
mkuu kwema ?? famili yako haijambo kwema ulikotoka??
 
Yaani yaleyale ya kupiga
Jirani akiuza Ice cream na ww unauza
Akianzisha ufugaji wa kuku na ww unafuga

.....
Hii inawafanya wanao iga kuwa watu wakulaumu kila siku huku mwenye wazo la kibunifu akichanja mbuga na maendeleo yake

Na kuna wakati kupiga kunatufanya tuingie katika mikopo ambayo inakuja kutugarimu na mwisho wa siku tunaanza kumtafuta mchawi
 
Wengine hawajawahi kupata japo A moja tu maisha yao yote!!!
Lakini wana A ya mafanikio kimaish..
......
Mkuu ujue linapo kuja swala la maisha huja tofauti na somo la darasani na hapo ndo utofauti unakuja maana unaweza kuwa mzuri darasani lakini kwenye maisha ukawasindikizaji na unaweza ukawa kilaza darasani na ukaja kwenye maisha ya kawaida ukatusua
 
Hii inawafanya wanao iga kuwa watu wakulaumu kila siku huku mwenye wazo la kibunifu akichanja mbuga na maendeleo yake

Na kuna wakati kupiga kunatufanya tuingie katika mikopo ambayo inakuja kutugarimu na mwisho wa siku tunaanza kumtafuta mchawi
Tena na huu Umagufool ni hatari kuchukua mikopo ambayo ina risk kubwa
Sijui watarudishaje
.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom