Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,366
AminaPoa mkuu tumshukuru atupae pumzi
AminaPoa mkuu tumshukuru atupae pumzi
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Amina
Poa kabisa, vip pande hizoWakuu mko poa habari za weekend
Atakuwa amelala, alikuwa analalamika kuwa hayuko sawaniko poa kiongozii,,,nionee mrembo shunie
Yupo poa kabisa, ila hayuko poa sana, sijui ndio kukuwaza sananiko poa kiongozii,,,nionee mrembo shunie
Huku poa afande wa akiba A.K.A shemejiPoa kabisa, vip pande hizo
Tupo kibaha mkoaniHuku poa afande wa akiba A.K.A shemeji
Sawa mkuu mi leo Niko mtaa mbaliziTupo kibaha mkoani
Mie sijambo mkuu sijui ww
ahaaaaah kisa nniAtakuwa amelala, alikuwa analalamika kuwa hayuko sawa
Anakuwaza sana aiseeahaaaaah kisa nni
Sante Snipespole sana
unajuajeeeAnakuwaza sana aisee
KheeeeAshapona yule Msukuma.....[emoji4]
kwa alihisi nini mpk kakuuliza hivyoKuna mtu nimekutana naye kaniuliza eti leo ni Jumapili ya matawi? Nimemwangaliaaa, nikaachana naye!!!
shemela [emoji23][emoji23] mukongo namuona yupo ng'ang'ari hawezi chukuliwa mke wake binamu obe utanikumbuka nilikupa mke humtaki we mama mchuchu tu umemsikia mumeweCc shunie
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Haaaaahaaaa
pole sana ..our mothers always are our herosAcha tu Bitoz hakuna kama mama yaan mm nikiwa na matatizo ndio unapozidi kuchanganyikiwa hivi mama angekuepo kila kitu si kingeenda sawa
Sante Baba Mchuchu [emoji120]Pole Shunie.....
Mke mwe miss u ni nini lakini jana shemela kashinda mwenyeweHabari ya jumapili wapendwa,Mungu awabariki