BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Polee nilikua nakemea mapaka yaani sijalala leo yamesumbua sana,samahani kuchelewa ila nilikuombeaAmeen mama [emoji120] mchuchu nimeisubili hii sala mpk nikalala bila sala
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Roho yako binamu ipo hapa [emoji23][emoji23]
Utangoja sana!!!.....ni rahisi lee kukupiga kibuti kuliko hilo uombealo.....si ajabu umeachwa kwenye mataa[emoji124]Woyoooooooo yaan baba mchuchu nakuona unavuochukuliwa mama mchuchu wako
Af wewe!!! Acha mazinguzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mtu nimekutana naye kaniuliza eti leo ni Jumapili ya matawi? Nimemwangaliaaa, nikaachana naye!!!
NjemaSalama hbr ya ibada
AmenAsante kwa Nukuu Shunie Ubarikiwe[emoji120] Nyerere anaishi milele.
APUMZIKE KWA AMANI J.K NYERERE
Unajua Shunie,hauko peke yako kipenzi,mama zetu wako mbinguni tuendelee kuwaombea ,Mungu atakapotuita,watakua wenyeji wetu hatutahangaika.
Naomba nikutie moyo ,Omba sana kwa ajili ya mama,futa machozi,jitie nguvu na moyo mkuu,zidisha maombi juu yake,yeye anakuona na anatabasamu na anakupenda sana ila Mungu aliamua maana alimtengenezea makao mengine,Mungu alikua na kusudi na mpendwa mama.
PUMZIKA KWA AMANI MAMA SHUNIE[emoji257] [emoji257] [emoji257]
PUMZIKA KWA AMANI MAMA BLESSEDHOPE[emoji257] [emoji257] [emoji257]
PUMZIKA KWA AMANI WAMAMA WOTE WA MAKAPUKU WALIOTANGULIA[emoji257] [emoji257] [emoji257]
PUMZIKA KWA AMANI MAREHEMU WOTE[emoji257] [emoji257] [emoji257]
TUNAWAPENDA SANA[emoji7] [emoji7]
Pole kwa kusumbuliwa na mapaka nina hakika kwa jina la Yesu yaliondokaPolee nilikua nakemea mapaka yaani sijalala leo yamesumbua sana,samahani kuchelewa ila nilikuombea
Cc shunie, maneno ya mshenga hayoUtangoja sana!!!.....ni rahisi lee kukupiga kibuti kuliko hilo uombealo.....si ajabu umeachwa kwenye mataa[emoji124]
Asante kwa Nukuu Shunie Ubarikiwe[emoji120] Nyerere anaishi milele.
APUMZIKE KWA AMANI J.K NYERERE
Unajua Shunie,hauko peke yako kipenzi,mama zetu wako mbinguni tuendelee kuwaombea ,Mungu atakapotuita,watakua wenyeji wetu hatutahangaika.
Naomba nikutie moyo ,Omba sana kwa ajili ya mama,futa machozi,jitie nguvu na moyo mkuu,zidisha maombi juu yake,yeye anakuona na anatabasamu na anakupenda sana ila Mungu aliamua maana alimtengenezea makao mengine,Mungu alikua na kusudi na mpendwa mama.
PUMZIKA KWA AMANI MAMA SHUNIE[emoji257] [emoji257] [emoji257]
PUMZIKA KWA AMANI MAMA BLESSEDHOPE[emoji257] [emoji257] [emoji257]
PUMZIKA KWA AMANI WAMAMA WOTE WA MAKAPUKU WALIOTANGULIA[emoji257] [emoji257] [emoji257]
PUMZIKA KWA AMANI MAREHEMU WOTE[emoji257] [emoji257] [emoji257]
TUNAWAPENDA SANA[emoji7] [emoji7]
Aksante sana madameKaribu Mkubhi
Hata Mimi ni Chelsea ni chama langa la damuni katika ulimwengu wa soka.....hongera zao chelsea kwa ubingwa wa epl [emoji122] hongera lee wangu bila kumsahau binamu obe
Npo babaaNiambie kipenzi cha nafisi yangu
Wapumzike kwa amani ameniAsante kwa Nukuu Shunie Ubarikiwe[emoji120] Nyerere anaishi milele.
APUMZIKE KWA AMANI J.K NYERERE
Unajua Shunie,hauko peke yako kipenzi,mama zetu wako mbinguni tuendelee kuwaombea ,Mungu atakapotuita,watakua wenyeji wetu hatutahangaika.
Naomba nikutie moyo ,Omba sana kwa ajili ya mama,futa machozi,jitie nguvu na moyo mkuu,zidisha maombi juu yake,yeye anakuona na anatabasamu na anakupenda sana ila Mungu aliamua maana alimtengenezea makao mengine,Mungu alikua na kusudi na mpendwa mama.
PUMZIKA KWA AMANI MAMA SHUNIE[emoji257] [emoji257] [emoji257]
PUMZIKA KWA AMANI MAMA BLESSEDHOPE[emoji257] [emoji257] [emoji257]
PUMZIKA KWA AMANI WAMAMA WOTE WA MAKAPUKU WALIOTANGULIA[emoji257] [emoji257] [emoji257]
PUMZIKA KWA AMANI MAREHEMU WOTE[emoji257] [emoji257] [emoji257]
TUNAWAPENDA SANA[emoji7] [emoji7]
Apumzike kwa amani,Zaidi ni kumuombea Mungu amrehemu hauko pekeako mama mchungaji ni tulopoteza mama zetu wapenzi,kazi ya Mungu haina makosa[emoji24] [emoji24] [emoji24]HAKUNA KAMA MAMA[emoji7] [emoji7] [emoji7] LOVE YOU MAMAYANGU HUKO ULIKO PUMZIKA KWA AMANI,NAKUPENDA SANA MAMA,NAYAFANYA YOTE ULIYOYAFANYA KWANGU KWA WAJUKUU ZAKO,NAJISIKIA FAHARI KUWA BINTI YAKO..TUTAONANA TENA MAMA KIPENZI LOVE YOU MUM...LOVE SWEETIE MUM..LOVE YOU ALWAYS .[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji257] [emoji257]
Aaaah shemu acha kumrusha roho mke mwenzanguUtangoja sana!!!.....ni rahisi lee kukupiga kibuti kuliko hilo uombealo.....si ajabu umeachwa kwenye mataa[emoji124]
Njema Sheme Tumo[emoji4]Habari ya jumapili wapendwa,Mungu awabariki
Hiyo imekaa vzr sana... Tahadhari ni ya mhimu sana kwa kila jambo na maamuzi yake!!NUKUU YA LEO
Everything that we see is a shadow cast by that we do not see.
yakiwa na maana kila kitu tunachokiona ni kivuli cha muhusika asieonekana
hayo maneno yaliwahi tamkwa na Martin Luther King
muwe na siku njema mbarikiwe
T shemela wangu nakuwakilisha kwenye nukuu kama nakosea utanisamehe.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Njema Sheme Tumo[emoji4]
Niko njema ShemeU hali gan shemela