shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Heehe, nilipoona unautaka ule mshono, nikajua no2 utakuwa umeipendaShululu khaa mbona umenichagulia mimibumbo langu namba saba,hapo sina wa kufanana nae
Heehe, nilipoona unautaka ule mshono, nikajua no2 utakuwa umeipendaShululu khaa mbona umenichagulia mimibumbo langu namba saba,hapo sina wa kufanana nae
Hata mimi namwona Shunie kama omotolaKuna mtu kasema wewe na Omotola ngoma droo, sijui ni kweli
Heehe, nilipoona unautaka ule mshono, nikajua no2 utakuwa umeipenda




uwiiiiiiiUbarikiwe sana jamani Mungu aliumba na bado anaumba tumshukuru sana sana kwa uumbaji wake ...watu ni wazuri..wanavipaji..wasomi..hakika tumshukuru Mungu
Asante mkuu Bitoz kwa makala hii kazi yako ni njema .
Shunie ukishona ule mshono ukitoka vzr niambie nami nijaribu,ila fundi mwambie kabisa yangu iwe ndefu.
asante mkuu
Asante kwa top 10 wapenda chura mtakua mmeinjoy
Pamoja sana wadauAsante bitoz kwa kumi kubwa
Hata mimi namwona Shunie kama omotola
mama mchuchu mm flatscreenHata Omotola ni Flat-screen![]()
ningekua hivyo hata porini lee sijui kama angeendamama mchuchu mm flatscreen
Hata Omotola ni Flat-screen



flatscreen huyu kidogo kajazia ebu mpunguze kidogoThat will remain Unless proven otherwisehahahha shemela ujue ule uzi kila mtu anajua nafanana na ule kumbe wala
Namba tu atakuwa kiwete ha ha ha ha ha.Amesema tu bila kuangalia, lengo lake aseme no2
AiseeeThat will remain Unless proven otherwise
Makisio mara nyingi yanakuwa karibu na kitu chenyewe.amekisia tu shemela
InawezekanaMakisio mara nyingi yanakuwa karibu na kitu chenyewe.
Shululu mwache mke wa watu bwana... Mpaka anaona aibu sasa.me sitaki jamaan hahhahah
Nahisi avatar imemchanganya, au sijui ni kweli![]()
![]()
![]()
![]()
Shunie mtaalam wa namba ha ha ha hano 7 yaan kwenye msambwanda pasi kifuani kikubwa mama mchuchu wewe
Nimeishamwacha aiseeShululu mwache mke wa watu bwana... Mpaka anaona aibu sasa.
Unakuja kuja mwisho utakubali.Inawezekana
Muziki ni Maisha
Makapuku habari za kushinda, najua tumefurahia segment ya 'wadada waliojaariwa maumbo makubwamakubwa' kwa hisani ya Bitoz , sasa turudi kidgo kwenye mambo ya muziki na kama kawaida ni vionjo vya gitaa huufanya ,muziki uwe na utamu unaopendeza kwa wengi wetu.
Leo tupo hapa nyumbani, na zaidi pande za Bagamoyo. bagamoyo ni mji wa sana aa na unasifika kwa kuwa na chuo kikubwa kabisa na maarufu kwa kufundisha wasanii wa fani tofauti nchini na duniani kwa ujumla. Wapo wasanii wengi wamepita Bagamoyo, bahati mbaya sana wengi hawa hawana jina kubwa sana nchini na nyimbo zao nyingi hazipewi nafasi kwenye vituo vya radio au TV. Kuna sababu, unamjua Jhikoman, Ashimba, na Vitali? wanavuma nje ya mipaka ya Tanzania kuliko nyumbani. Sad.
Anajulikana sana hapa nchini kwa wimbo wake wa Sumu ya Teja, huyu ni Vitali Maembe. Vitali anajua kuimba, kutunga na kuandika mashairi.
Hupiga gitaa la nyuzi sita, na unapochanganya na sauti yake ya mchomoko basi hutachoka kumsikiza akiimba na kupiga gitaa lake.
Mara nyingi sana na nyimbo zake zote zinamfanya awe ni mwanaharakati zaidi, anapingana na rushwa na kutokana na aina ya muziki anaofanya keshaingia matatani na watawala mara nyingi ikiwemo kupigwa na kufutwa kwa ziara ya album yake yenye jina Chanjo ya Rushwa.
Ukipata nafasi isikize album hii, ipo bure mtandaoni kwani ilipata ufadhili wa Waswidi na ilikuwa wafanye ziara nchi nzima kugawa hii album lakini wenye mamlka hawakupenda, nadhani iliishia Dar na Bagamoyo tu.
Muziki una nguvu, na hivi ndivyo imekuwa wakati wote, hayupo wa kumpangia msanii nini cha kuimba na kama alivyowahi kusema Steve Biko ' naandika nnachopenda' ndivyo wasanii mahiri wataendelea kuisemea jamii ikiwa wabunge na wanasiasa watakaa kusema matumbo yao.
Msikize Vitali hapa akidonoa gitaa la nyuzi sita
Tujiandae na kusherekea Siku ya Mama
Unakuja kuja mwisho utakubali.
Shunie mtaalam wa namba ha ha ha ha
Teh teh,, teheheeKweli mkuu viwanja gani unapendelea kwenda siku za weekend