BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nimependa mavazi yake,kajitahidi sana ,ni mrembo nitatafuta kazi zake2/Joselyn Damas
![]()
![]()
Huyu ni muongoza vipindi vua luninga huko Ghana
Pia ni mwigizaji anapatikana kwenye muvi kama Silver Rain,A Sting in aTale na mfululizo wa muvi za Adams Apples
Ana umri wa miaka 36 lakini anaonekana kama kigori
........
