shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Kuna mtu kasema wewe na Omotola ngoma droo, sijui ni kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chura tuwaachie nyie mnaopenda naomba hilo pepo la chura lishindwe kwa lee wangu
Kuna mtu kasema wewe na Omotola ngoma droo, sijui ni kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chura tuwaachie nyie mnaopenda naomba hilo pepo la chura lishindwe kwa lee wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amesema tu bila kuangalia, lengo lake aseme no2
amekisia tu shemelaKuna mtu kasema wewe na Omotola ngoma droo, sijui ni kweli
Nipo jiraniJirani adimu siku hizi
hahahhhHapana anajifunza mambo mengi ya vijana
Hasaaaamungu aliumba
Nahisi avatar imemchanganya, au sijui ni kweli [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]amekisia tu shemela
me sitaki jamaan hahhahahNahisi avatar imemchanganya, au sijui ni kweli [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kwanini ShunieMama mchuchu ujue wanakuharibu hawa vijana
hahahhaha si hivyo wanavyokuuliza umbo no ngpKwanini Shunie
Asante sana maana leo nimepata msamiati mpyaHaaaaahaaaa, nilijua tu, ndio maana nikakusaidia kuandika
ujue me nilikua sijaelewa nini ulimaanishaAsante sana maana leo nimepata msamiati mpya
Kweli Shuniehahaha nimefurahi mama mchuchu kusema yy no 7
Na mgumu kuutamkaAsante sana maana leo nimepata msamiati mpya
[emoji23][emoji23][emoji23] no 7 yaan kwenye msambwanda pasi kifuani kikubwa mama mchuchu weweKweli Shunie
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa katatufe sasa
ati shululu amesema umechagua #7 kimakosa wewe ni #2 ya kweli hayo?Hasaaaa
Huyo Vee Beiby ana mkwanja mrefu ...keshawahi kufanyiwa skin lightening huko kwa Malkia kwa USD 170,000Misambwanda leoo. Nafwazzz. Thanks Madenge. Muumbaji Alicheza pele katika kumuumba mwanamke. Salute!Huyu Vera inasemekana ndiye video vixen tajiri kuliko wote na kinachomsaidia ni kuwa kasoma. Hata mwenzake yule wakili (Corazon Kwamboka) naye kampuni yake ya nguo inafanya vizuri sana. Vixen wetu hawa akina Masogange yaani wapo wapo tu. Wakenya, kama kawaida yao, wamechangamka karibu katika kila sekta kuliko sisi...![]()
Shululu khaa mbona umenichagulia mimibumbo langu namba saba,hapo sina wa kufanana naeAmesema tu bila kuangalia, lengo lake aseme no2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hurumieni mbavu zanguShululu khaa mbona umenichagulia mimibumbo langu namba saba,hapo sina wa kufanana nae