Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Kweli kigori aisee2/Joselyn Damas
![]()
![]()
Huyu ni muongoza vipindi vua luninga huko Ghana
Pia ni mwigizaji anapatikana kwenye muvi kama Silver Rain,A Sting in aTale na mfululizo wa muvi za Adams Apples
Ana umri wa miaka 36 lakini anaonekana kama kigori
........
kama huyo ni model mama mchuchu lazima avae hivyo tumuoneYuko vizuri .
Na wote wanavutia na wana vipaji ila wangejitahidi kuvaa mavazi ya kuwasitiri,sina uhakika kama wakivaa hivi ndio wanavutia zaidia au ni mtizamo tu,zipo nguo nzuri za kuvutia na kusitiri ninauhakika wakivaa watakuwa warembo zaidi,niwazuri sana kwakweli na yale mambo anapenda ndugu yangu SHIMBA yote yamekamilika![]()
![]()
Mungu awabariki na kazi zao ziendelee kuwa njema
![]()
hajamaanisha hivyo nahisi amemaanisha huyo mdada alivyo labda ameumbika kaona ni mzuri kuliko woteHujalazimishwa kufuatilia
Hatuwezi kujadili siasa,elimu na uchumi daily
Km vipi nenda kalale
........
Mzuri nimeipenda hiyo nguo yake ya kitenge ya pili ngoja nimpelekee fundi wangu wa kibarazani akanishonee2/Joselyn Damas
![]()
![]()
Huyu ni muongoza vipindi vua luninga huko Ghana
Pia ni mwigizaji anapatikana kwenye muvi kama Silver Rain,A Sting in aTale na mfululizo wa muvi za Adams Apples
Ana umri wa miaka 36 lakini anaonekana kama kigori
........
Wewe ni bonge, itakupendeza kweli shemelaMzuri nimeipenda hiyo nguo yake ya kitenge ya pili ngoja nimpelekee fundi wangu wa kibarazani akanishonee
Nimemjibu kama alivyoandikahajamaanisha hivyo nahisi amemaanisha huyo mdada alivyo labda ameumbika kaona ni mzuri kuliko wote
nasubiria #1 hapa halafu unambie upo kama nanikama huyo ni model mama mchuchu lazima avae hivyo tumuone
akijibu nitagWewe ni bonge, itakupendeza kweli shemela
mm sio bonge shemela wangu kiflatscreen flan amaizing chura ananitosha mwenyeweWewe ni bonge, itakupendeza kweli shemela
Asante bitoz kwa kumi kubwa1/Noni Zondi
![]()
![]()
Huyu ni celeb wa huko Afrika Kusini
Anaishi pia jijini London
Hujishughulisha na mambo mengi ya Sana'a ikiwepo muziki
.
.
.
Shukrani kwa mliofuatilia mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
...............
Familia ni kila kitu jamani,tuwapende wanafamilia wetu[/QUOTE]Ndiyooo ukikuta mtu aliyekua nao alafu ukaporomoka mmmh,itabidi umuombee na kufunga huwa inaporomoka vibaya [
QUOTE="shululu, post: 21097598, member: 270710"]Pia anajali sana familia yake
Asante kwa top 10 wapenda chura mtakua mmeinjoy1/Noni Zondi
![]()
![]()
Huyu ni celeb wa huko Afrika Kusini
Anaishi pia jijini London
Hujishughulisha na mambo mengi ya Sana'a ikiwepo muziki
.
.
.
Shukrani kwa mliofuatilia mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
...............
Mfyuuuu sina hata ninaefanana nae mm nipo kama mtinasubiria #1 hapa halafu unambie upo kama nani
ukichomoa nakuchagulia kibabe ndo nishasema
uh mama mchuchu najua umeifatilia Top 10, we una umbo namba ngapi uki-refer hzo picha za leo??
Kwani wasio na misambwanda huwa hawaporomoki? Father time spares no one, isn't it? Akifikia hatua ya kuporomoka na mimi nitakuwa nimeporomoka kwa hivyo tunakwenda kwenye hayo maporomoko pamoja na miporomoko yetu HAPPILY. Kwema mtumishi?Ila huwa inaisha baada ya muda utafanya nini mkuu ukiporomoka?utatafuta mngine au ?
asante mkuu1/Noni Zondi
![]()
![]()
Huyu ni celeb wa huko Afrika Kusini
Anaishi pia jijini London
Hujishughulisha na mambo mengi ya Sana'a ikiwepo muziki
.
.
.
Shukrani kwa mliofuatilia mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
...............