mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Wacha uongo Shunieati umepigwa pasi sio?
Wacha uongo Shunieati umepigwa pasi sio?
Kwa mujibu wa Maelezo ya shunie hili ndio umbo lakeNamkubali sana Omotola
Basi Lee anafaidimm sio bonge shemela wangu kiflatscreen flan amaizing chura ananitosha mwenyewe
Nimeshindwa kuandika mswambanda...wewe umesema flat screen hiyo nguo itakaa[emoji23] [emoji23]sijakuelewa mama mchuchu bila nini
Mhhhhhhmhhhhhuh mama mchuchu najua umeifatilia Top 10, we una umbo namba ngapi uki-refer hzo picha za leo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namba saba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sanaaaaaa !!!![]()
Ndio mbele sieleweki nyuma sitamanikiati umepigwa pasi sio?
Khaaa sasa kipi nimeongopa mieWacha uongo Shunie
[emoji85] [emoji85] karidhika na mifupa yanguBasi Lee anafaidi
Acha uongo Shunie... Lakini bora udanganye... Maana Ukisema ukweli.. Lee akiona shauri yako.. Mimi Sijui kupatanishamm sifananii hata na mmoja mm ni flatscreen si unajua mtu akikwambia hivyo
Wewe ulisema huna misambwanda, kwa hiyo mjibu mama mchungajisijakuelewa mama mchuchu bila nini
AMAZING GRACE..NI RAHA SANA MKIFIKA HAPA NI KWA NEEMA[emoji120]The woman of God anaongelea msambwanda kuporomoka. Si tunaporomoka pamoja tu kama hivi?![]()
[emoji23][emoji23][emoji23] itakaa tu mama mchuchu si itanishapeNimeshindwa kuandika mswambanda...wewe umesema flat screen hiyo nguo itakaa[emoji23] [emoji23]
Wacha kutamani wake za watu wewe.Hilo shape ndio huwa linanitoa udenda yaani "Motorola bapa lakini chaji inakaa"[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mmh [emoji134] [emoji134] mbona unanitishaAcha uongo Shunie... Lakini bora udanganye... Maana Ukisema ukweli.. Lee akiona shauri yako.. Mimi Sijui kupatanisha
Safi sanaThe woman of God anaongelea msambwanda kuporomoka. Si tunaporomoka pamoja tu kama hivi?![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
agizo unachotumia nitalipiaNdio mbele sieleweki nyuma sitamaniki
Sikutishi nakutahadharisha.... Si Unakumbuka ulipotoa ule uzi.Mmh [emoji134] [emoji134] mbona unanitisha