Makapuku Forum

Makapuku Forum

8/Toolz
36c6f54753ddbcbfb70ce56ff411602d.jpg
f408cac5ac3e680a1de79da478515ea6.jpg

Jina lake halisi ni Tolu Oniru
Ni mwendeshaji wa vipindi vya redio na luninga machachari huko nchini Nigeria
Ana elimu ya Shahada ya kwanza(Degree in Business and Mass Communication)
.........
 
Wazo zuri sana mdau, naamini kwenye kipande ambacho huwa napandisha wadau Makapuku wanaweza kupendekeza "title" yake.

Labda kwa uchache, kwangu kama ilivyo kwa wengi wetu, siishii tu kueleza utamu wa gitaa na mpigaji.

Gitaa katika muziki ni kinogesho wa kile kinachowasilishwa na mtunzi, mwandishi kwa hadhira yake.
Muziki ni maisha na bila muziki maisha yetu yangekuwa very boring, kila siku tungekuwa watu wa viwanda tu, vita tuu, kazi tuu na vitu vingine vinavyochosha. Muziki umerahisisha haya na kuyafanya yawe rahisi.

Muziki ni maisha, ni aina ya kipekee ambayo mtu anaweza kujieleza na akaeleka kwa urahisi. Wapo wasioweza kujieleza, wana aibu ila muziki unawapa kujiamini na kusikizwa.

Kwenye gitaa la muziki kuna kila kitu unachowaza, kuna sayansi, hesabu, mapenzi, siasa, kisasi, maendeleo, hisia, nia, mapinduzi, shukrani, imani/dini na chochote unachowaza. Nguvu ya muziki inajieleza katika haya niliyotaja
Niandike nini nisikuchoshe, nitakuwekea muziki na siku zote naamini tuliumbwa na anayependa muziki.

Weka pendekezo lako hapa. Tukutane baada ya muda mfupi nikikuletea mambo ya sauti tamu za gitaa.
Mimi Kuanzia Kesho Nitaanza Kuwaletea vipengele viwili: Stupid Criminals na Leo Katika Katuni. Pendekezo zuri sana waungwana!
 
7/Vee S Beib
4769057277feff574962e889035fbfff.jpg
6dd1718b0a1a75ae386dc6a8350f189c.jpg

Huyu ni binti wa Kikenya ambaye jina lake halisi ni Vera Sidika
Ni mpendezeshaji wa video za wanamuziki mbalimbali(Video vixien)
Anaonekana zaidi kwenye video za kundi la hip hop huko Kenya liitwalo P-Unit
........
Misambwanda leoo. Nafwazzz. Thanks Madenge. Muumbaji Alicheza pele katika kumuumba mwanamke. Salute!
d688c934755a7efb8925273f317857a7.jpg
Huyu Vera inasemekana ndiye video vixen tajiri kuliko wote na kinachomsaidia ni kuwa kasoma. Hata mwenzake yule wakili (Corazon Kwamboka) naye kampuni yake ya nguo inafanya vizuri sana. Vixen wetu hawa akina Masogange yaani wapo wapo tu. Wakenya, kama kawaida yao, wamechangamka karibu katika kila sekta kuliko sisi...
 
TOP TEN
Week end huanza Ijumaa hivyo leo sitajadili siasa wala uchumi au mambo ya elimu ni burudani,udaku au starehe kama kawa
ce3e29b3091b4cf5be7bacc097daa6d9.jpg

Hapa Bongo hakuna asiyemjua Giggy Money(Muuza Supu) ana mzigo wa nguvu.....
.
.
Sasa leo tuwaangalie wale wasanii maarufu kumi wanaosifika kwa kujazia
Hakuna hakuna akina Masogange kwenye hii list maana wanaongelewa ambao ni maarufu zaidi
Karibuni
..........
giggy kichaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom