Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,386
Naona umerudi kutoka porini kivingine. Hewa safi itakuwa imeuburudisha urazini wako. Nitamuomba tajiri wako (Shunie) awe anakusakizia hizi safari za porini mara kwa mara.hahahahaha..... wakati mwingine huwa nawaza kwamba inatupasa tuwe-humble
mtu unaweza mwambia kwa unyenyekevu akakuskia ndio lakini huo unyenyekevu wako ulio utumia wala hautasaidia ivyo basi mwambie kwa hisia hasi (-) weather u-shout au kwa hasira mf.."usimwage mboga utakula wali mkavu"
labda pengine ndo jadi yetu wabongo bila kuambiwa kwa hasira au kwa sauti hatuwezi jiongeza wakati mwingine nafikiriaga bola kama tumeshindwa kuyafanya yaliyo yetu bora tukaige ya magharibi ....(my opnion)
"tembea pole pole barabara sio ya mamako" aisèee mnaweza liona hili neno linautata lakini ni neno lenye hisia zaidi pengine aliyeliandika(editor) alifikiria ajali zinazotokea madhara makubwa ambayo tunapata ukilenga zaidi kwenye nguvu kazi ya taifa kupungua........
asubuhi njema familia yangu
Naona hata prezida ameamua kutupa makavu Wabongo. Bembeleza bembeleza na kupakana mafuta mgongo wa chupa hakuna. Ni utamaduni mpya lakini naona tutauzoea tu kwa sababu hakuna namna!

