Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Njema kiongozi mzimaHabarini za alasiri Makapuku
Njema kiongozi mzimaHabarini za alasiri Makapuku
Ena kakaPo ndaga ulu kubhombela pakaja
Amen mama mchungajiZABURI 143
8.Unifanye kusikia fadhili zako asubuhi ,Kwa maana nimekutumainia Wewe Unijulishe njia nitakayoiendea ,Kwa maana nakuinulia nafsi yangu.
TUOMBE
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi asante kwa siku mpya ya leo na kutuamsha salama,wapo watu wengi walitamani kuiona siku ya leo walikua na mipango mingi na maono mbalimbali lakini hawajaweza ,wengine umewaita,wengine ni mahututi vitandani,wengine wanachangamoto mbalimbali Baba sisi ni nani hatuna cha kukupa zaidi ya kusema Asante![]()
Tunaomba utusamehe makosa yote tunayotenda kwa mawazo maneno na matendo uturehemu twa kusihi.
Waponye wagonjwa,fariji wafiwa,watie nguvu yatima,wajane ,wahitaji wakutumainie wewe tu.
Tunakabidhi mapito yetu yote,nyoosha njia zetu Baba tunajikabidhi kwako tujulishe njia sahihi ya kuiendea siku yaleo
Tunaomba maafa ya mvua yaishe ponya majeraha yote ya mafuriko,maporomoko,mvua isiyokoma ,neema yako itawale.
Bariki wasafiri majini ,nchi kavu na angani wafike salama
Tunaomba Amani na Upendo vitawale
Tunaomba bariki kazi za mikono yetu
Tunaomba Roho Mtakatifu atuongoze ,tusipungukiwe.
Katika jina la Yesu tunaomba na kushukuru Amen
Raha ya milele uwape marehemu wote,na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa Amani Amen
SIKU NJEMA WAPENDWA![]()
![]()
![]()
Kweli kabisaKule Athens Ugriki ya kale wanawake waliwahi kushauriwa kutofanya tendo la ndoa na waume zao ili kuwashinikiza wasiende vitani. Wanawake hawa walikuwa wamechoshwa na vita vya mara kwa mara. Inasemekana walifanikiwa na wanaume wakagoma kwenda vitani, diplomacy ikatumika na amani ikarejea.
Naona Mugabe naye anatoa wazo lile lile ili kupata dawa ya UKIMWI.![]()
Shululu , BlessedHope asanteni kwa kuianzisha siku hii ya Ijumaa kwa magazeti na sala.
Group hili ni bora sana kwa sababu ninyi mu sehemu yake. Asanteni
Asubuhi njema Makapuku, tukumbuke leo ni Ijumaa so, tuendeshe n kutembea kwa hadhari
Mungu mwema nko vzr kaka cjui wwNjema dadake na Mimi za hapo ulipo
Kwema Shedede? Nasikia ulikuwa umekwama porini na bosi. Kazi ya ulinzi ni ngumu, na nikikwambia uje huku Koromije tulime nyanya hutaki.
Anyway, Waswahili walishasema "Asiyekuwepo na lake______". Halafu wakaongeza "Fimbo ya mbali ______" The revolution was not successful; and it was not televised. Halijaharibika neno!![]()

Ahsante sana mkuu Shedebehahahahaha..... wakati mwingine huwa nawaza kwamba inatupasa tuwe-humble
mtu unaweza mwambia kwa unyenyekevu akakuskia ndio lakini huo unyenyekevu wako ulio utumia wala hautasaidia ivyo basi mwambie kwa hisia hasi (-) weather u-shout au kwa hasira mf.."usimwage mboga utakula wali mkavu"
labda pengine ndo jadi yetu wabongo bila kuambiwa kwa hasira au kwa sauti hatuwezi jiongeza wakati mwingine nafikiriaga bola kama tumeshindwa kuyafanya yaliyo yetu bora tukaige ya magharibi ....(my opnion)
"tembea pole pole barabara sio ya mamako" aisèee mnaweza liona hili neno linautata lakini ni neno lenye hisia zaidi pengine aliyeliandika(editor) alifikiria ajali zinazotokea madhara makubwa ambayo tunapata ukilenga zaidi kwenye nguvu kazi ya taifa kupungua........
asubuhi njema familia yangu
Salama shemela kwemaHabarini za alasiri Makapuku
Uhali gani kamanda?
Njema karibuHbr ya mchana wapendwa poleni na majukumu,shululu mic u![]()
![]()
AsantePamoja sana wadau
Tukutane Jioni
.......
Eti quote kwa kiswahili unaandikaje?Mmeamkaje humu ndani
UMAKINI KATIKA KAZI ZAKO HUONGEZA UFANISI WA KAZI YAKO
Asante mama mchungaji,pole majukumuNjema karibu
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo 1 wathesalonike 5:18Amen mama mchungaji
Ubarikiwe sana
Ni jambo la kujivunia kuwa nawe
Ubhaponyange po uliEna kaka
Ngubhaponya bhosaUbhaponyange po uli