Makapuku Forum

Makapuku Forum

Binamu mama mchuchu achana nae tu huyo wa mukongo nimekuweka kwa husna upunguze machungu na mawazo uliyonayo hiyo saa mpe husna binamu

Afu sijui kwanini kila nikipiga ramli zangu naambiwa wewe ndo ulinizibia kwa BH, au nazipiga nimelewa? maana mganga wangu masharti yake niende na bia za kopo na mishikaki , eti tuwaite wazee.

Anyway, ngoja basi tukae kimkakati saa tumpe Husna
 
Khaaaa binamu mm naanzaje kukuzibia na wkt furaha yangu uwe na amani ya moyo mama mchuchu alimchagua mukongo wote tumebaki tunashangaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom