Huu mchezo huu7/Boxing
Hapa tunaongelea ndondi za kawaida pamoja na n ickboxing
Juzijuzi tu zimepigwa ngumi za kufa mtu kati ya Anthony Joshua na Vladimir Klitschko's ambapo tulishuhudia ngumi nzito kama mawe
Pia sio muda mrefu mdogo wa Matumla alizimia uwanjani baada ya kupigwa ngumu ya kichwani
Hapa wengi hupata madhara ya muda mrefu au mfupi
Mfano inasadikiwa Muhammad Alli baada ya kustaafu ngumi alipata ugonjwa uliotokana na madhara ya kupigana ndondi ambazo ziliathiri sehemu ya ubongo
Ila hawa jamaa huvuta mkwanja mrefu si mnamkumbuka yule mswahili Floyd Mayweather Jr
.......
Ninalindwa sana shem wane ondoa shakaKuwa makin shemu ucjesombwa na ww
Sawa dadaMm maswali sipendi nitajibu mwanzo yakiendelea nimechoka
Shunie msaada wa haraka hapaJamani eeh! Shedede kapotea. Sasa Husna utamsubiri mpaka lini? Wakati mijibaba tena ya nguvu tupo hapa? Shunie rekebisha mambo please ili Shimba na Husna IKIWEZEKANA wawe couple mpya hapa Makapuku. Husna (jina zuri hili!) unasemaje?
HupendiWe naeee
HakikaHeshima mbele kama tai!!!
hapana husna wa binamu obe kashakua shangazi yangu msukuma akae kwenye foleniShunie msaada wa haraka hapa
Hatari sanahiyo kAli aisee
Mtoto wa kwanza katoka 23:59 na wa pili 00:01 kwa masaa ya nchini kwaoMh hiyo imewezkanaje?!
Haya bana...Ngoja tu niwe mpole kwq sababu hakuna namnaMmh we msukuma subili kwanza
Napendaga wanavyovaa yaaan marobot si robot6/Hockey
Huu mchezo unaweza kuudharau lakini ni hatari kinoma
Sababu?
Wachezaji huvaa kofia ngumu na viatu vya kuteleza/matairi hivyo kusababisha mtu kuanguka kwa urahisi na pengine kujigonga ukutani pindi akisukumwa
Sasa pia unaweza kujikuta unateleza na kuchanika msamba
Huu mchezo unahitaji umakini mkubwa na nguvu
Mara kadhaa wachezaji hufanyiana ubabeubabe tu
.........
Afadhali aiseeNinalindwa sana shem wane ondoa shaka
Haya bana...Ngoja tu niwe mpole kwq sababu hakuna namna
Unaendlea kumtafutia mweupe eeeehhapana husna wa binamu obe kashakua shangazi yangu msukuma akae kwenye foleni
Tofauti yao n dakika mbili ila miaka miwili tofautiMtoto wa kwanza katoka 23:59 na wa pili 00:01 kwa masaa ya nchini kwao
Mweupe kibonge si ndio anaemtaka msukumaUnaendlea kumtafutia mweupe eeeeh