Makapuku Forum

Makapuku Forum

7856650d64645a0af19419f1943f77d7.jpg
bf1e55a09ed09cd8df61bed9018f23f1.jpg

Gari alilokabidhiwa Miss Tz
Limezidiwa hata na like Mr Bean Goes To Town
Ni aibu

.........
 
nakaa manzese uwanja wa fisi
Mdomo unaumba acha kujitamkia mambo yasiyo kweli,yakitokea utaomba nikuombee,siku utashtukia transfer from masaki to manzese kambi ya fisi.
Hizi fake ID 's zinatufanya tutamke mengiiiii, Mungu atusaidie tupone

Hebu sikiza khs ULIMI
YAKOBO 3

9.Kwa huo twsmhimidi Mungu Baba yetu ,na kws huo twalaani wanadamu waliofanywa kws mfano wa Mungu.

10.katika kinywa kilekile kwatoka baraka na laana

Hebu tujitabirie mema na mazuri,sisemi manzese ni pabaya lakini sifa ya uwanja wa fisi wote tumewahi isikia hivi kweli mpendwa wangu Shunie unapenda kuishi hapo,basi tafuta mahali pengine hatutakuja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom