Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,797
Sawa ila jua yuko kuchunga mbuzihawajatibuana
Sawa ila jua yuko kuchunga mbuzihawajatibuana
Hongera kwa 186k[emoji3] [emoji3]
Kweli na hii hali ya hewa [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji18] [emoji18] [emoji18] Lee aje jamani
Uwanja wa fisi ni jina tu hakuna mnyamaSawa siku ukipiga picha nitumie maana nasikia fisi ni mnyama kauzu zaidi ya simba
AiseeNjema namshukuru sana Mungu,ila huko lushoto mawe yanaporomoka yanaangukia magari watu wameumia,na njia ya Dar Moshi arusha imefungwa mafuriko
Wanawake wote ni wapole sana,ukifuata kanuni ya kibiblia uishi nao kwa akili na kumheshimu[emoji23] anaweza kuwa na mbwembwe huku lakini kwa mumewe ni Mpolee
Kumsaidia kazi Lee, baada ya kazi ya ulinzi kumshindahahhahah porini kaenda kufanya nn
[emoji134] [emoji134] shemela acha tuKweli na hii hali ya hewa [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Asante my swiKaribu maji ya kunywa
hahahha lee alimsamehe jamanKumsaidia kazi Lee, baada ya kazi ya ulinzi kumshinda
Sawa kwa nini huwa waupa mji hilo jina badala ya jina tulilo zoea kuita huo mjiUwanja wa fisi ni jina tu hakuna mnyama
Kweli kabisa mama mchuchuWanawake wote ni wapole sana,ukifuata kanuni ya kibiblis uishi nao kwa akili na kumheshimu
Tumshukuru MunguHekima zako zidumu mama mchungaji
Kweli aiseeAnachunga mbuzi ikwiriri
Khaaa mm maswali jaman sipendi [emoji134] yaanSawa kwa nini huwa waupa mji hilo jina badala ya jina tulilo zoea kuita huo mji
Shemela atakuwa anakaa Kati ya mwenge au tangibovuhahah sikai mabibo mm
JamaanKweli aisee
Sasa hebu sema yuko wapinani kamwambia aende porini na wakati aliambiwa anilinde mm na boss wake
[emoji109] [emoji109]Merci Chaplin
[emoji85] [emoji85] umekosea kiduchuShemela atakuwa anakaa Kati ya mwenge au tangibovu