Makapuku Forum

1986 - Abou Diaby anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa.

Alitabiriwa kama Patrick Vieira mpya wa Arsenal lakini alishindwa kufikia malengo yake kutokana na majeruhi kibao yaliyomuandama.
Yuko wapi nowadays.....Kwanini mchezaji akifananishwa na nguli flani huwa anapotea???
 
Aisee masikini Marley R.i.p
 
Natumai umeamka salama mkuu from call me Jay

Habari ya uzima.?

All the time God is good
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…