Makapuku Forum

10/Salman Bin Abdulaziz Al Saud
Huyu ni mfalme wa Saudi Arabia aliyezaliwa tarehe 31 Desemba 1935
Ni mtoto wa mwisho wa mwasisi wa Taifa la Saudi Arabia....alianza kuiongoza Saudi Arabia mnamo Januari 23 2015 baaday ya kifo cha kakaye aitwaye Abdallah Abdulaziz ambaye ndo alikuwa mfalme hivyo akatawazwa rasmi
Ana umri wa miaka 81
..........
 
Shusha nondo mkuu niko mubashara hapa
 
9/Akihito
Huyu ni Mfalme wa Japan aliyezaliwa mnamo Desemba 23 mwaka 1933
Alianza kuirawala Japan kuanzia mwaka 1989 baada ya kifo cha Mfalme Hirohito ambaye alikuwa ni babaye
Anafahamika zaidi nchini humo kutokana na machapisho yake
Ana umri wa miaka 83 lakini kwa huko Japan ni km kijana tu maana kuna vikongwe kibao vyenye zaidi ya miaka 100
.........
 
8/Paul Biya
Huyu ni Rais wa Cameroon ambaye amezaliwa Februari 13 mnamo mwaka 1933
Ndiye anashikiria rekodi ya Rais wa kuchaguliwa aliyepo madarakani muda mrefu zaidi wa miaka 33 yaani anashinda kila uchaguzi ukifanyika
Ana umri wa miaka 84
.............
 
Je wajua?
K
ijana aliyeitwa Francesco Lentini alikua na miguu mitatu (legs) vikanyagio vinne (feet) vidole kumi na sita na alikua na vikojoleo viwili (penis) vinavyofanya kazi naliishi miaka 70 akiwa kama mwana sarakasi.
hapo kwenye vikojoleo ndo kuna shinda kidogo... alikuwa anafanya zamu kwa zamu wakati wa kugegeda
 
mama obama bila shaka atakuwa ana nyanyua chuma
 
7/Raul Castro

Huyu ni kiongozi wa Cuba aliyezaliwa mnamo Juni 03 1931
Kwa sasa anaiongoza Cuba karibia mwaka wa 10 baada ya kuachiwa madaraka na kakaye Fidel Castro
Wakati wa utawala wa Fidel Castro ,Raul alikuwa Waziri wa Ulinzi kwa takriban miaka 50
Ana umri wa miaka 85
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…