Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka hadi machozi we Shunie wewe duuuh natamani nikuone khaaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
uwiiiiiii [emoji85] [emoji85] halaf mama mchuchu mm ukiniona ni kapole utajiuliza ndio shunie huyu nikinywa mbili tatu ndio nachangamka
 
Je wajua?
K
ijana aliyeitwa Francesco Lentini alikua na miguu mitatu (legs) vikanyagio vinne (feet) vidole kumi na sita na alikua na vikojoleo viwili (penis) vinavyofanya kazi naliishi miaka 70 akiwa kama mwana sarakasi.
e2cd871589a85212beccb753349c808e.jpg
 
Back
Top Bottom