Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
TayariSIKUJUA KAPICHA BASI WAKUU
TayariSIKUJUA KAPICHA BASI WAKUU
AmenMISULI YA IMANI
[emoji111]Shemeji nmehisi rangirangi nkaona icwe tabu ngoja niulze
Karibu mama mchungajiNatamani sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka hadi machozi we Shunie wewe duuuh natamani nikuone khaaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]shululu ujue hapendi hayo mambo sana
[emoji3]Mfyuuu
Kwakweli ni muhimu Lee awe hapa angalau gavana yake nzima[emoji12]hunishindi mm mama mchuchu juzi nilikukumbuka yale maneno yako bora lee arudi anakuweza
alirudi bana mama mchuchu akakuta kuna thread nimeipost mmu ya wanawake vibonge aliongea yule baba [emoji134] [emoji134] akaniambia sbbu sipo ngoja nirudi
Utingapasya kalumbuPo ndaga mndekelee amasulu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Yepi acjenkimbia jamanshululu ujue hapendi hayo mambo sana
[emoji12] [emoji12] [emoji12]S & T [emoji12]
Anajenga nchi, atakuja usihofu.....nyagei mpe mgeni cappuccinoHaswa[emoji108] [emoji108] hvi shululu kaenda wap tena
[emoji3]Atakuwa kaelekea chumbani
Asante kaka nawe pia uwe na jion njemaWakuu niwatakie jion njema
poa bwoyNgoja niusikilize then.....
Je wajua?
Inakadiriwa watu 450 hufariki kwa kuanguka toka kitandani kila mwaka nchini Marekani
AiseeeJe wajua?
Kijana aliyeitwa Francesco Lentini alikua na miguu mitatu (legs) vikanyagio vinne (feet) vidole kumi na sita na alikua na vikojoleo viwili (penis) vinavyofanya kazi naliishi miaka 70 akiwa kama mwana sarakasi.
Kunywa kwa kiasi tu haina shidaIla Nyagei hata mimi maramojamoja nikiikut mahali nakunywa,naipenda,sijui ipi bora pombe au capuchino
sijaiona mkuu ngoja niendeShedebe nilikutumia arafa hujaona mpaka leo?