Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
wala nina miezi sijanywa mm ni mnywajiinaonekana kabla hujaingia huku ukapukuni unapata kidogo sio
wala nina miezi sijanywa mm ni mnywajiinaonekana kabla hujaingia huku ukapukuni unapata kidogo sio
pole sana!!! evartHuu Uzi unaniudhi
Na huyo nae ni shemeji eeeehTumosa baby wake shululu
Njema afandee za hukowakuu habar za saivii
Aisee6/Sabah Al Ahmad Al Jaber Al Sabah
Huyu ni kiongozi (Amiri) wa Kuwait aliyezaliwa Juni 19 1929![]()
Alianza kuwa Amiri wa 5 wa Kuwait takribani miaka 9 iliyopita
Lakini alikuwa Waziri wa mambo ya Nje wa Kuwait kwa takribani miaka 40 ikiwemo kipindi cha uvamizi wa Iraq nwaka 1990(Vita ya Ghuba)
Ana umri wa miaka 87
.........
Acheni umagharibiatakua ni diktekta nae
huyo nae shemeji ni mlinzi wangu anaitwa shededeNa huyo nae ni shemeji eeeeh
pembeni yake ni master mind mmoja hatarii6/Sabah Al Ahmad Al Jaber Al Sabah
Huyu ni kiongozi (Amiri) wa Kuwait aliyezaliwa Juni 19 1929![]()
Alianza kuwa Amiri wa 5 wa Kuwait takribani miaka 9 iliyopita
Lakini alikuwa Waziri wa mambo ya Nje wa Kuwait kwa takribani miaka 40 ikiwemo kipindi cha uvamizi wa Iraq nwaka 1990(Vita ya Ghuba)
Ana umri wa miaka 87
.........
Karibu sakayo tumekumicBae
Sitakiiii kuamini, so utaniacha nikila maisha without you for nine years?????!!!! Nooooo please........
pole sana mkuu, kazi munguTarehe kama ya leo:
2010 - Binamu yangu anafariki Dunia kifo cha ghafla.
Hakika ni majonzi na simanzi kubwa alituachia ukizingatia siku ya kifo chake alishinda salama na akiwa na uchangamfu wa kutosha tu. Kumbe usiku wake anaenda kututoka.
Leo ni miaka 7 toka ututoke Duniani, daima unakumbukwa na ndugu, jamaa na marafiki. Pengo lako bado halijazibika.
Pumzika kwa amani, bado tunakuombea na iko siku tutaonana tena. Gone but never forgotten.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
nipo makini kumsubiria Mugabe + yule wa Rwanda jina limenitokaTOP TEN
Waswahili husema ukubwa dawa japo siyo kila mkubwa ana hekima na busara
Sasa leo tuwaangalie vikongwe vinavyoongoza nchi ...yaani viongozi wazee waliopo madarakani
Haijalishi ni wafalme au marais ...
Karibuni
.........
hahahhh malkia nae ni kibokoAcheni umagharibi
Mbona hamumsemi Malkia wa Uingereza
........
Sawa ila tambua kuwa nakuwa nazungumza na dadangu lazima tupandishe lugha ya nyumbani kidogosawa lkn sio mda wote
Sawani jepesi sana
Nyerere alikataza haya mamboSawa ila tambua kuwa nakuwa nazungumza na dadangu lazima tupandishe lugha ya nyumbani kidogo
Kumbeee hivi hakukataza ufisadi lakini watu wanafanya ufisadi na wanatumia madaraka vibayaNyerere alikataza haya mambo
ayaHuu Uzi unaniudhi
si wafanye mazoezi ya kawaida tu!Umemwangalia vizuri mke wa Biya?
Ni noma
.......