Makapuku Forum

Makapuku Forum

Uganda Premier League
511aa7146e0028af3beac92415e9b7cc.jpg
Asante mkuu Nyagei kwa taarifa,ratiba na msimamo wa ligi mbalimbali ubarikiwe[emoji120]
 
Wakuu usiku mwema ibada ni bora kuliko usingizi

Tushukuru kwa yote kupata kukosa yote ni majibu yake mungu

Tusichoke kuomba
[emoji524] 1 WATHESALONIKE 5

16. Furahini siku zote.

17.Ombeni bila kukoma .

18.Shukuruni kwa kila jambo;maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Yesu Kristo.

19.Msimzimishe Roho.

20. Msitweze unabii.

21.Jaribuni mambo yote ;lishikeni lililo jema.

22.Jitengeni na ubaya wa kila namna.

[emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom