Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
uko freshi aseeUzi mpya wa Ugenini wa Manchester United kwa msimu wa 2017/2018
Unauonaje ??? Mkali au ?![]()
uko freshi aseeUzi mpya wa Ugenini wa Manchester United kwa msimu wa 2017/2018
Unauonaje ??? Mkali au ?![]()
Uzi mpya wa Ugenini wa Manchester United kwa msimu wa 2017/2018
Unauonaje ??? Mkali au ?![]()
Bro hapo kwenye mwaka hujakosea kweli?1904 Henry Morton Stanley, Anazaliwa ni mwandishi wa habari na mpelelezi (aligundua chanzo cha mto Nile).
asante kwa historiaLeo katika historia sina la ziada
Mmh nan huyo aliniomba ushauri nikampozaUsijali dada juzi amekuja mtu kukuomba ushauri ukawa unampoza unamkumbuka
mm nahusikaje mndali kwenye picha ya chura ya bullarOooh ndo mnaita churaaaa
Cc: shunie
Nami nije?Nawe pia, usisahau jioni dinner pale KFC mikocheni
woyoooooooo your b shemelaView attachment 507037Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa My B,Tumosa
sio udhamini wa binamu ni udhamini wa new baby wa shemela shululuasante mkuu na magazeti yalikuwa na udhamini wako
acha niwe mkimya binamu shikamoo
na mukongo yuko wapiNdiyo, ninamtaka, asome magazeti
.....hivi moja jumlisha moja ni mbili?
Asante kwa nukuu nzuri sanaNUKUU YA LEO
Family is the most important thing in the world
Familia ni kitu muhimu zaidi duniani
![]()
Haya maneno yalipatwa kusemwa na Diana Francis ama Princess Diana of wales.
Princess Diana alizaliwa 01/07/1961 katika jiji la Norfolk, Diana ni mtoto wa nne wa John spencer na viscout Althorp.
Princess Diana aliolewa na Prince Charles mwaka 1981 na kuzaa nae watoto wawili Prince William na Prince Harry kabla ya kutalakiana mwaka August 28 mwaka 1996.
Princess Diana anakumbukwa sana kwa kazi zake za kujitolea kwa watoto na kampeni zake mbali mbali za utetezi kwa wanyonge.
Princess Diana alifarikia kwa ajali ya gari nchini Ufaransa siku 363 baada ya kutalakiana na Prince Charles .
Kuna utata sana juu ya kifo chake huyu mama..Ripoti ya serikali inasema ni uzembe wa Dereva wake kwa kuwa alikuwa amelewa lakini kuna tetesi zinadai kifo chake kilipagwa na M16 ya uingereza baada ya Diana kuwa na uhusiano na mtengeneza filamu wa ki-misri Dodi Fayed.
![]()
![]()
Kila mtu anapenda familia, kwa wale ambao mpo kwenye ndoa mtakuwa mmenielewa kirahisi...
Kila mtu anataka awe na good family..
Niwatakie kila la kheri.
Mungu ni mwema mama mchuchu umerudi kwenye hali yako karibu tena tulikumiss watto wakoZABURI 116
1.Haleluya,Nampenda BWANA kwa kuwa anansikiliza sauti yangu na dua zangu.
2.Kwa maana amenitegea sikio lake,Kwa hiyo nitamwita siku zangu zote.
3.Kamba za mauti zilinizunguka,Shida za kuzimu zilinipata,Naliona tabu na huzuni.
4.Nikaliita jina la BWANA ,Ee BWANA ,nakuomba sana ,uniokoe nafsi yangu.
5.BWANA ni mwenye neema na haki,Naam ,Mungu wetu ni mwenye rehema.
6.BWANA huwalinda wasio na hila,Nalidhilika akaniokoa.
7.Ee nafsi yangu urudi rahani mwako,Kwakuwa BWANA amekutendea ukarimu.
8.Maana umeniponya nafsi yangu na mauti,Macho yangu na machozi Na miguu kuanguka
9.Nitaenenda mbele za BWANA katika nchi ya waliohai.
10.Naliamini ,kwa maana nitasema Mimi naliteswa sana
11 Mimi nalisema kwa haraka yangu wanadamu wote ni waongo
12 Nimrudishie BWANA nini kwa ukarimu wake wote alionitendea?
13 Nitaipokea kikombe cha wokovu;Na kulitangaza jina la BWANA,
14 .Nitaziondoa nadhiri zangu kwa BWANA,Naam ,mbele za watu wake wote.
15.Ina thamani machoni pa BWANA mauti ya wacha Mungu wake
16 Ee BWANA ,hakika mimi ni mtumishi wako,Mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako,umevifungua vifungo vyangu .
17.Nitakutolea dhabihu ya kushukuru ;Na kulitangaza jina la BWANA.
18.Nitaziondoa nadhiri zangu kwa BWANA ,Naam ,mbele ya watu wake wote.
19.Katika nyua za nyumba ya BWANA ,ndani yako ,Ee Yerusalemu.
Wapendwa nashukuru sana Mungu ameniponya ,nawashukuru kwaupendo, maombi na kunijali haikua rahisi ila Mungu amenitendea makuu kwa maombi yenu.
MBARIKIWE SANA SANA,NAWAPENDA MUWE NA SIKU NJEMA YENYE MAFANIKIO![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hahahha mm sijui mama mchuchu jana aliniadithia humuHahahaha Shunie mbona hii habari ngeni?ameniona wapi?hatari
hahahha mm sijui mama mchuchu jana aliniadithia humuHahahaha Shunie mbona hii habari ngeni?ameniona wapi?hatari
baby wa shemela shululuHongera kwa kupata baby
Cc: nyagei