Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,277
- 35,630
Kweli
Hongera kwa kuwa jf Miaka kumi..
Asante, bado miezi michache niwe na miaka 10 humu,
Kweli
Hongera kwa kuwa jf Miaka kumi..
Umekula Munyu bin Uvinza wa kutosha..Asante, bado miezi michache niwe na miaka 10 humu,
![]()
Mungu dereva si wengine wote makonda ,mambo yanaendafrsh sana mkuu vp harakati
Umekula Munyu bin Uvinza wa kutosha..
Sijui nilikua wap miaka hiyo..
Ahsante MkubwaView attachment 507037Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa My BTumosa
Chio kweli...miaka hiyo kuoga ilikuwa ni adhabu kubwa sana kwako, utapiga makelele hadi mtaa wa 9
Nashukuru shururu pamoja na makapuku wote,asanten kwa ukarimu na muwe na asubuhi njemaView attachment 507037Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa My B,Tumosa
Vyeti feki ni noma
ZABURI 116

Wanaiasa wapo kimaslahi zaidinowdays tumechoka kila kona vyeti vyeti hakuna mambo mengine yakufanya![]()
![]()
wakuu wetu wamekazania vyeti vyeti sasa kama cv's ndo zinafanya kazi wewe unayefanya kazi huna maana kwaiyo cv's sio uwajibikaji "i wonder"
kila kukicha ni vyeti wakati akina "daudi from call me jay"wapo wapo tu wanazunguka kwenye vitu tena wao ndo vinala wa vyeti bandia lkn serikali haiwaoni!!!!!!!!!!!!!!"i wonder"
nafikiri huu sio mda wa kuanza kukimbizana na kudai vyeti og vya mtu kama hatukuona mwenendo mbaya wa kazi yake haina maana ya kumtumbua eti kisa anavyeti fake uwajibikaji katika jamii ndo kipimo cha kazi ya mtu kwanini tusi-deal na mambo muhimu tuna-deal na vyeti fake"i wonder"
Na Ndio Maana Siamini Ktk SiasaWanaiasa wapo kimaslahi zaidi
Jiulize Dereva au muhudumu wa mochwari awe na elimu ya form 4 lakini mbunge awe anajua kusoma na kuandika tu
Pia rasimu ya katiba mpya waliondoa vifungu vyote vinavyowagusa mfano Wabinge wasiwe Mawaziri...usishangae katiba mpya hadi leo kimya sababu haina maslahi kwao
..
.
Uhusiano wake na mtoto wa tajiri Mohamed All Fayed (Dodi) ulitikisa sana ukoo wa Kifalme maana ilikuwa aibu kwa mumewe na pia Wazungu hawataki kuchanganya damu na WaarabuNUKUU YA LEO
Family is the most important thing in the world
Familia ni kitu muhimu zaidi duniani
![]()
Haya maneno yalipatwa kusemwa na Diana Francis ama Princess Diana of wales.
Princess Diana alizaliwa 01/07/1961 katika jiji la Norfolk, Diana ni mtoto wa nne wa John spencer na viscout Althorp.
Princess Diana aliolewa na Prince Charles mwaka 1981 na kuzaa nae watoto wawili Prince William na Prince Harry kabla ya kutalakiana mwaka August 28 mwaka 1996.
Princess Diana anakumbukwa sana kwa kazi zake za kujitolea kwa watoto na kampeni zake mbali mbali za utetezi kwa wanyonge.
Princess Diana alifarikia kwa ajali ya gari nchini Ufaransa siku 363 baada ya kutalakiana na Prince Charles .
Kuna utata sana juu ya kifo chake huyu mama..Ripoti ya serikali inasema ni uzembe wa Dereva wake kwa kuwa alikuwa amelewa lakini kuna tetesi zinadai kifo chake kilipagwa na M16 ya uingereza baada ya Diana kuwa na uhusiano na mtengeneza filamu wa ki-misri Dodi Fayed.
![]()
![]()
Kila mtu anapenda familia, kwa wale ambao mpo kwenye ndoa mtakuwa mmenielewa kirahisi...
Kila mtu anataka awe na good family..
Niwatakie kila la kheri.
Hongera ObeAsante, bado miezi michache niwe na miaka 10 humu,
![]()
SawaNiliyonayo inatosha
Njema afandemakuu habar za saivii
Obe asanteMimi nilidhamini ya juzi na BlessedHope leo kadhamini My B na Tumosa

Asante kwa magazeti mkuuView attachment 507037Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa My B,Tumosa
Asante Obe leo nimeweza kusoma nawashukuru kuniombeaSio kwamba sitaki kuwatambua kwa majina makapuku wengine, la. Napenda tu kumtakia BlessedHope usomaji mwema wa magazeti.
Na wengine msome magazeti vizuri
