Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,937
Happy birthday wajina wa Dadii akee shunie1838 John Wilkes Booth, anazaliwa ni muigizaji na muuaji wa Rais wa Marekani Abraham Lincoln, alizaliwa huko Bel Air, Maryland.
Happy birthday wajina wa Dadii akee shunie1838 John Wilkes Booth, anazaliwa ni muigizaji na muuaji wa Rais wa Marekani Abraham Lincoln, alizaliwa huko Bel Air, Maryland.
Asante shem wange kwa historiaLeo katika historia sina la ziada
Njema namshukuru MunguZa mchana mama mchungaji
Za mchana mama mchungaji
Mzuri sanaUzi mpya wa Ugenini wa Manchester United kwa msimu wa 2017/2018
Unauonaje ??? Mkali au ?![]()
Sanaaaa hao ndio manchester banauko bomba![]()
ukiona cha nini...Nami nije?
Hongera kaka na Tarime 1 mbarikiweMpaka kufikia hapo sina la ziada mpaka kesho.![]()
UF ilidhaminiwa na Mndali pamoja na Tarime 1
AbeeehShunie
Nawe pia barikiwaMchana mwema wapendwa
Nawe pia, usisahau jioni dinner pale KFC mikocheni
Karibu tupitie historia
Mimi na Mama ni mwezi mmoja na tarehe tumetofautiana singali day![]()



jamaan sio chai hii baba mchuchuMie cjambo pole na majukumujaman wazima mashemela wa mm apa, mama mchuchu anaendeleaje jamaan
tumosa mke mwee umeamkaje na ww
Page zote hizinitakapoishia ni hapo hapo
shemela shululu mme wangu kaonekana kweli
mara ya kwanza nilisoma vibaya badala ya Vegans nikasoma VegasasanteNimechukua chache tu mkuu