Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sheria ni sheria, kama tunasema vyeti feki bi kharamu basi na iwe hivyo, uchapakaji wa kazi kwa kutumia cheti feki haiwezi kuwa samehe
hii inadhihirisha kuwa tanzania yote imekumbwa na vyeti fake "i wonder"
siku nyingine tusije stuka tukaambiwa sizonje naye aligushi vyeti vyake vya form 4 na 6 "what goes around comes around"
 
Why Only Blessed Hope
images
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom