Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG-20170510-WA0028.jpg
 
nowdays tumechoka kila kona vyeti vyeti hakuna mambo mengine yakufanya wakuu wetu wamekazania vyeti vyeti sasa kama cv's ndo zinafanya kazi wewe unayefanya kazi huna maana kwaiyo cv's sio uwajibikaji "i wonder"

kila kukicha ni vyeti wakati akina "daudi from call me jay"wapo wapo tu wanazunguka kwenye vitu tena wao ndo vinala wa vyeti bandia lkn serikali haiwaoni!!!!!!!!!!!!!!"i wonder"

nafikiri huu sio mda wa kuanza kukimbizana na kudai vyeti og vya mtu kama hatukuona mwenendo mbaya wa kazi yake haina maana ya kumtumbua eti kisa anavyeti fake uwajibikaji katika jamii ndo kipimo cha kazi ya mtu kwanini tusi-deal na mambo muhimu tuna-deal na vyeti fake"i wonder"
 
Sheria ni sheria, kama tunasema vyeti feki bi kharamu basi na iwe hivyo, uchapakaji wa kazi kwa kutumia cheti feki haiwezi kuwa samehe
 
nowdays tumechoka kila kona vyeti vyeti hakuna mambo mengine yakufanya wakuu wetu wamekazania vyeti vyeti sasa kama cv's ndo zinafanya kazi wewe unayefanya kazi huna maana kwaiyo cv's sio uwajibikaji "i wonder"

kila kukicha ni vyeti wakati akina "daudi from call me jay"wapo wapo tu wanazunguka kwenye vitu tena wao ndo vinala wa vyeti bandia lkn serikali haiwaoni!!!!!!!!!!!!!!"i wonder"

nafikiri huu sio mda wa kuanza kukimbizana na kudai vyeti og vya mtu kama hatukuona mwenendo mbaya wa kazi yake haina maana ya kumtumbua eti kisa anavyeti fake uwajibikaji katika jamii ndo kipimo cha kazi ya mtu kwanini tusi-deal na mambo muhimu tuna-deal na vyeti fake"i wonder"
Umekimwaga leo hongera..
Wakikuteka usifiche kitu useme tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom