Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
tanteeulale vyema 😉 😉
tanteeulale vyema 😉 😉
hii sitaki yako hii.....anyway kesho inshaallahniacheeeee sihitaji msaada wa mtu yeyote lee anatosha nalala sitaki
hahaha sawa mkuuZimeisha mkuu
Usijali dada juzi amekuja mtu kukuomba ushauri ukawa unampoza unamkumbukasawa ww tatizo si jeuri ya geisha
Hapana wananisingiziaati nasikia umeanzisha chama cha fitina according to shunii + shululu
sawa mkuu kazi njema, usiku mwema!uck mwema wakuu acha alipe bill huyu kiumbe !
Oooh ndo mnaita churaaaa![]()
nipo hapa mkuu, nmepewa madaraka ya kulevya
watu bhanaHapana wananisingizia
Sawa dadahaya ndio ya maana kuyaongea
Ukipewa hiyo ajira nitakuwa nakuita sajenti![]()
![]()
![]()
![]()
Ajira ninayo mkuu labda apewe Mondray
All the time God is good
Pamoja mkuuSawa mkuu
All the time God is good
Nawe pia mkuujaman kwema humu, nawatakia usiku mwema na njoz njema...!!
Sio roho mbaya mshindi ni mmoja na amesha patikana kwanini watu watupe garama zaokamati ya roho mbaya
Pamojasawa
Nani anawanyanyasa mnajinyanyasa wenyewe maana mda wote mnahisi mnaonewambona wafupi mnatunyanyasa Sana?
Nawe pia kumbuka kufanya ibada kabla hujazidiwa na usingiziusiku mwema jamaan mlale unono mlindwe na damu ya Yesu
lee wangu nimejitahidi kukusubili mpk sasa hivi naona kimya shemela shululu aliniambia sa 6 ndio mida yako
nalala kipenzi changu Mungu akulinde huko uliko akufanyie wepesi ktk kila unachofanyashunii loves u much much
![]()
![]()
![]()
Sawahahaha sawa mkuu
Ndo hivyo mkuuwatu bhana