Mimi sina shida ya kujipanga mkuu,kwakuwa ameonyesha dalili za kunipenda mimi namsubirii aseme mwenyewe.Unajua Shemeji wanasema ukitaka kumshinda mtu yeyote usimpe muda wa yeye kujipanga yaani kabla hajawa tayar unam-attack chap maana Jimena ukimpa mda ajipange ni shida ...
Poa poa kabisa mkuu wikend ishaanzaSwalama mkuu mishe vipi?
Hehehehe eti ilikuwa isidingoHalafu Pastor jambilo mtata sana baada ya kupigwa za chembe za kutosha...akasema kwanza mimi nilikuwa natania tu ..nilikuwa siko seriuos nilicheka sana nikajiuliza ingekuwaje wakati ya jaribio lake hilo ukasema na mim nakupenda Pastor..?

Hapana Shemeji sithubutu Patience123 anaweza kuja kutoa ushahidi hapa mimi ndiyo shemej niliebaki tukiheshimiana sana ...Hahaha!
Nina wasiwasi wewe pia utakuwa mmoja wao.
Acha kuzuga kwasababu manuu yupo hapa,kama vipi karibu PM utiririke ukweli wako wa jinsi unavyoumia moyo kwa ajili yangu.Hiyo![]()
![]()
![]()
haitakuja kutokea. We utabaki kuwa kaka tu na nahrene wifi
Uwiii first lady tenaaKaribu sana First lady
Hahjahahahhahahah wallahi nimecheka hamuezi amini sjui nn kinaendelea jamaniKaribu ww ndo First Lady
NI MARUFUKU KUTONGOZA MKE WA RAIS
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Jimena inabdi ujipange maana naona kijana keshaanza mdogo mdogo kama hivi youngblood wala usimwite chumban nakukubali mno maliza kila kitu hadharani hapa....Ti Ta mtu chaliiAcha kuzuga kwasababu manuu yupo hapa,kama vipi karibu PM utiririke ukweli wako wa jinsi unavyoumia moyo kwa ajili yangu.
Soma post # 3 na page # 1 nzima utapata mwangasijaelewa muhtasari kidogo nipatie labda na mimi nikapuku sina habari
Ndio niniSasa wew ndio kapuku original madame s
DuhhhhhhSoma post # 3 na page # 1 nzima utapata mwanga
First Lady
Karibu
..............
Wakikumezea mate nawafanyiziaHahjahahahhahahah wallahi nimecheka hamuezi amini sjui nn kinaendelea jamani
Hapana Shemeji sithubutu Patience123 anaweza kuja kutoa ushahidi hapa mimi ndiyo shemej niliebaki tukiheshimiana sana ...
My loveMpe kiss kwa niaba yangu
Picha za nini za wewe? HahahaHamna kapicha wakuu?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()