Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Kweli mkuu.Poa poa kabisa mkuu wikend ishaanza
Tunalisongesha.
Kweli mkuu.Poa poa kabisa mkuu wikend ishaanza
Naona umeamua kuzuga.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kama KF kuna daktari mpimeni akili huyu
Aghhaaaaaaaa makubwa hayaWakikumezea mate nawafanyizia
Nishakutangaza ww ndo 1st Lady
Nasisi tujidai
Luv u laaziz
![]()
![]()
![]()
..................
youngblood bila shaka umepata majibu mura kabisa kutoka kwa shemeji yangu wa ukweli..Huu ni ukweli usiokuwa na hata chembe ya shaka.
Sweet!My love
Haswaaaaa.......Uwiii first lady tenaa
Hongera sana kwa kuonana live, itabidi Makapuku tufanye mpango wa kuwa tunaonana kwa walio karibu.Mkuu ni ishu ya kweli tumekutana Mikocheni TCU nilikuwa na mitikasi si unajua watoto wa Uswaz tusipotembea tunawashwa miguu?
Nimefurahi kuonana nae LIVE
...............
Kaka mkubwa Mshana Jr nae mbona tushaonana LIVE.... Usijali ukiwa na misele pNde flani unawashfua makapukuHongera sana kwa kuonana live, itabidi Makapuku tufanye mpango wa kuwa tunaonana kwa walio karibu.
Mkuu wewe uko wapi kwani?Hongera sana kwa kuonana live, itabidi Makapuku tufanye mpango wa kuwa tunaonana kwa walio karibu.
Hapa naomba kwanza niulize swali moja!Kaka mkubwa Mshana Jr nae mbona tushaonana LIVE.... Usijali ukiwa na misele pNde flani unawashfua makapuku
............
unajifanya king mswati sio, unajimilikisha tuWakikumezea mate nawafanyizia
Nishakutangaza ww ndo 1st Lady
Nasisi tujidai
Luv u laaziz
![]()
![]()
![]()
..................
Mkuu wewe uko wapi kwani?
Natamani kweli nikuone!

Huko mbali sana mkuu![]()
![]()
Mkuu, mie nipo Mwanza.
Just aimple
Hahaha.Just aimple
Acha hizo ww.
Ukizoeana na mfu humu Jf utazijua hadi swaga zake na hata ukionana nae LIVE utajua tu km ni fake au original
....................
Acheni majunguunajifanya king mswati sio, unajimilikisha tu