Makapuku Forum

Makapuku Forum

Umebanwa na tumbo la kuhara halafu unadai risiti

..................

Hii tabia ya kusingizia dharura imesababisha wenye nia ovu kutumia mwanya huo kuingia mikataba inayoendelea kutunyonya sana....risiti ni muhimu! Hata kama una Girlfriend akikuaga kwamba anaenda kwa boyfriend wake wa zamani, akirudi dai risiti! Tutafika tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom