Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Basi sawaaaaa.....Hapana!! Kama vile
Basi sawaaaaa.....Hapana!! Kama vile
ngoja nijaribummepooza sana , shida nini wakuu
Upo wewe?Basi sawaaaaa.....
Ndo naingia sasa, ubize nao ni shiiiiidaUpo wewe?
Anzisha swaga sio kutaka kuanzishiwa tummepooza sana , shida nini wakuu
Karibu sana ila mimi nitarudi baadae kidogoNdo naingia sasa, ubize nao ni shiiiiida
Poa poa, baadae basiKaribu sana ila mimi nitarudi baadae kidogo
Hapa sijaelewa.![]()
![]()
![]()
wapambe wanapolalamika kuliko mhusika
Sasa ndo inabidi uhakikishe jukwaa linachangamka maana jukumu hilo ni letu sotemmepooza sana , shida nini wakuu
Nimerudi kuchangamsha MFmmepooza sana , shida nini wakuu
Mpe kiss kwa niaba yanguNipo na Th Name
Live hapa
...............
Si nyie wapambe mnapolalamika kuwa mtoto wa watu atawafia,Hapa sijaelewa.
Bila pastor na prophet!Nimerudi kuchangamsha MF
Karibu sana First ladyehhh asante sana nimekaribia
Wewe huna maana kabisa.Bila pastor na prophet!
Sasa wewe kwanini unamsumbua?Si nyie wapambe mnapolalamika kuwa mtoto wa watu atawafia,
kwani kuna anaejua tarehe za watu kufa humu???