Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Nimemkana wapi?Tatizo ni pale unapomkana hadharani......
Siwezi kuona wivu hata, ila sipendi tabia yako ya kutojivunia kuwa nae
Nimemkana wapi?Tatizo ni pale unapomkana hadharani......
Siwezi kuona wivu hata, ila sipendi tabia yako ya kutojivunia kuwa nae
Dah i wish ningeshuhudia hiyo ligi ilivyo anza maana nimeshuudia kidogo ya sizzya007 ilivyokuwa mpaka leo haonekan kijiweni na akija ni kwa machale kali ni ya mtumish jambilo ulimpa za chembe mpaka leo yuko hoi kalazwa hata kikiwen haonekan tena na sijui kwa nini ukiwazibua zibua wanakacha kistone..Hahahahahahaha yupo kaka ake, Sema tu kimya kimya
HapoAchana na habari za Nahrene.
Nimemkana wapi?
Safiiiiii hata mimi nilielewa kama wewe ulivyoelewa dada angu ila ni kama youngblood alitaka kutest kina cha maji then akashtuka hivi..Tatizo ni pale unapomkana hadharani......
Siwezi kuona wivu hata, ila sipendi tabia yako ya kutojivunia kuwa nae
Sasa hapi nimemkana wapi?Hapo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sizzya007 yupo tu ila leo amesema anaumwa, Jambilo alistahili kukataliwa maana dhambi ya kutembea na pastor nisingetaka hata kuikaribia, pia mi na mama Mchungaji Patience123 tunaheshimiana sana hivyo siwezi kumsalitiDah i wish ningeshuhudia hiyo ligi ilivyo anza maana nimeshuudia kidogo ya sizzya007 ilivyokuwa mpaka leo haonekan kijiweni na akija ni kwa machale kali ni ya mtumish jambilo ulimpa za chembe mpaka leo yuko hoi kalazwa hata kikiwen haonekan tena na sijui kwa nini ukiwazibua zibua wanakacha kistone..
Hapana jambilo alikengeuka tu akafanya mambo meeeengi hadharani ..kitendo ambacho Patience123 akaamua kujiweka pemben kwa mda..Mh,sawa shemeji nitasubiri.
Wamefunga ndoa ama vipi?
Oops hapo sasa nimekuelewa vizuri
Mkuu achana na Jimena anataka nimuache Nahrene.Safiiiiii hata mimi nilielewa kama wewe ulivyoelewa dada angu ila ni kama youngblood alitaka kutest kina cha maji then akashtuka hivi..
Poa habari ya wewe?Habarini za humu makapuku
Halafu Pastor jambilo mtata sana baada ya kupigwa za chembe za kutosha...akasema kwanza mimi nilikuwa natania tu ..nilikuwa siko seriuos nilicheka sana nikajiuliza ingekuwaje wakati ya jaribio lake hilo ukasema na mim nakupenda Pastor..?Sizzya007 yupo tu ila leo amesema anaumwa, Jambilo alistahili kukataliwa maana dhambi ya kutembea na pastor nisingetaka hata kuikaribia, pia mi na mama Mchungaji Patience123 tunaheshimiana sana hivyo siwezi kumsaliti
Swalama mkuu mishe vipi?Habarini za humu makapuku
Hii ni habari nzuri sana kwa baadhi ya watu humu ndani.Hapana jambilo alikengeuka tu akafanya mambo meeeengi hadharani ..kitendo ambacho Patience123 akaamua kujiweka pemben kwa mda..
Sanaaa yaani wale wote waliokuwa wakimwita Patience123 shemeji ghafla wameanza kumwita mara honey, mara mrembo..Hii ni habari nzuri sana kwa baadhi ya watu humu ndani.
Subiri kwanza nimlie timing nione mwelekeo wake.Inawezekana kabisa ila maadam shemeji yangu hayupo hapa ebu jaribu kuimbisha tuone mwelekeo wa Jimena utakapoelekea...Kabla hujaanza wacha niagize popcorn na sprite kubwa ya bariiiid..
Nami nakuheshimu sana Jimena na asante kwa kumkataa mtumishi uchwara@jambiloSizzya007 yupo tu ila leo amesema anaumwa, Jambilo alistahili kukataliwa maana dhambi ya kutembea na pastor nisingetaka hata kuikaribia, pia mi na mama Mchungaji Patience123 tunaheshimiana sana hivyo siwezi kumsaliti
Hahaha!Sanaaa yaani wale wote waliokuwa wakimwita Patience123 shemeji ghafla wameanza kumwita mara honey, mara mrembo..