Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Hahahaaa mtoto tulia, pastor anapoleta utata ndipo michango nayo inazidi so likes zinazidi na uzi unatembea alaaaWewe huna maana kabisa.
Hahahaaa mtoto tulia, pastor anapoleta utata ndipo michango nayo inazidi so likes zinazidi na uzi unatembea alaaaWewe huna maana kabisa.
Hamna kapicha wakuu?Nipo na Th Name
Live hapa
...............
mchana ushapita mbona .. karibu lknHabari za mchana wakuu.
We umeuonaje huo usumbufu?Sasa wewe kwanini unamsumbua?
Kwani huko uliko ni saa ngapi mwenzetu?Habari za mchana wakuu.
Wewe kwangu nakuona mwizi tuHahahaaa mtoto tulia, pastor anapoleta utata ndipo michango nayo inazidi so likes zinazidi na uzi unatembea alaaa
Jua linachomoza.Kwani huko uliko ni saa ngapi mwenzetu?
Nasikia umempa majibu mabaya wakati alikuwa anategemea mambo mazuri kutoka kwako.We umeuonaje huo usumbufu?
Mbona ye hajauona??
Saa ngapi?? [emoji800] [emoji800] [emoji800] [emoji800]Jua linachomoza.
Sasa umesikia wapi? Maana jibu bado halijatolewaNasikia umempa majibu mabaya wakati alikuwa anategemea mambo mazuri kutoka kwako.
Saa kumi na mbili alfajiri mkuu.Saa ngapi?? [emoji800] [emoji800] [emoji800] [emoji800]
Asante mkuu,unajua huku kwetu ndiyo kwanza jua linachomoza.mchana ushapita mbona .. karibu lkn
Sasa mbona ulisalimia habari za mchana?? We lazima Umeamka na [emoji482] [emoji482]Saa kumi na mbili alfajiri mkuu.
Nimesikia na nimeona pia,asubuhi dogo alikuwa analialia hapa.Sasa umesikia wapi? Maana jibu bado halijatolewa
Nahisi nimekula ya maharage ya gwajima.Så mbona ulisalimia habari za mchana?? We lazima Umeamka na [emoji482] [emoji482]
Mmmmmm[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]Nimesikia na nimeona pia,asubuhi dogo alikuwa analialia hapa.
Hahahahahaha basi bora ujitapishe[emoji85]Nahisi nimekula ya maharage ya gwajima.
Alisema hawezi kupona hadi akuone![emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji7] [emoji7]Mmmmmm[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]
Kwahiyo mtu akiumwa hapa KF ni sababu ya Ximena??