Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Sasa basi acha upambee......Alisema hawezi kupona hadi akuone!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nitaachaje upambe wakati dogo anaumia!!?Sasa basi acha upambee......
Mtafute kwanza NahreneNitaachaje upambe wakati dogo anaumia!!?
Achana na habari za Nahrene.Mtafute kwanza Nahrene
Sijamaanisha vibaya shemeji.Shemeji kuwa na akiba ya maneno kwa muda...Maana hii anaweza isoma Nahrene siku yeyote..
Kazi ipoAchana na habari za Nahrene.

Ipi sasa.Kazi ipo![]()
Tena si kidogo ila wacha nione maana natamani kuona yule atakae kukalisha chini kabisa kila kitu uwe unasema ...sawa na mimi pia.Kila anachokuambia ndilo liwe jibu lako..Kazi ipo![]()
Asante sana shemeji,ila huyu ndugu yako ananiweka katika wakati mbaya sana.Hapa sasa sawa asome na hii pia kwa ajili kupata maana iliyo thabiti Nahrene
Hahahahahahaha yupo kaka ake, Sema tu kimya kimyaTena si kidogo ila wacha nione maana natamani kuona yule atakae kukalisha chini kabisa kila kitu uwe unasema ...sawa na mimi pia.Kila anachokuambia ndilo liwe jibu lako..
Umeelewa vibaya!Inayomkabili my wifi Nahrene
Atakuwa busy na anatengeneza mazingira ya kuborosha mapenzi maana akijitokeza ghafla hapa hiyo raha utakyoipata itakuwa si ya kifani.. Na umepata taarifa ya Patience123 na Mtumish jambilo ?Asante sana shemeji,ila huyu ndugu yako ananiweka katika wakati mbaya sana.
Tatizo ni pale unapomkana hadharani......Umeelewa vibaya!
Nahrene atabaki kuwa mke wangu siku zote.
Labda kama unaona wivu.
Mh,sawa shemeji nitasubiri.Atakuwa busy na anatengeneza mazingira ya kuborosha mapenzi maana akijitokeza ghafla hapa hiyo raha utakyoipata itakuwa si ya kifani.. Na umepata taarifa ya Patience123 na Mtumish jambilo ?