nipo sana mkuu asanteeeeeeeeeeeeeee nimekaribiaMpaka nikasema huyu MTU amepotelea wapi tena? Karibu sana
Magu amekuwa role model wangu kwenye risiti...jumapili nitaenda kanisani,nawaza hapa kama nidai risiti nikitoa fungu la kumi ama nisidai!

Nafurahi kukuona tena humunipo sana mkuu asanteeeeeeeeeeeeeee nimekaribia
Sawa madame.ehhh asante sana nimekaribia
Umeamini Mimi sio Bitoz nasingiziwa tuHahahaha kijana
Karibu ww ndo First Ladysijaelewa muhtasari kidogo nipatie labda na mimi nikapuku sina habari
Mkuu ondoa hofu hii forum ni moto WA kuotea mbali .....mtu akileta thread km hii itahamishiwa himihumuKuna kitu najifunza hapa, kuna kamsemo fulani ka kajamaa fulani keupe 'never underestimate the power of stupid people in a large group' nina maana nzuri tu...kwamba watu tukiamua tunaweza... leo kuna mtu mmoja alikaa na mtu mwingine wakaja na hili nwazo la Makapuku na muitikio umekuwa chanya sana,perhaps Th Name ana nyota ya chips mayai who knows ila kwa muktadha huu huu naamini atatokea mtu mwingine (na yupo) ambaye ataanzisha forum 'wapi tulipokosea na ni nmna gani tuendelee mbele kuepuka makosa ya zamani' naamini kwa dhati kabisa kwamba kwa mawazo yetu tunaweza kuirusha dunia kichura chura...Cheers!
Mkuu ondoa hofu hii forum ni moto WA kuotea mbali .....mtu akileta thread km hii itahamishiwa himihumu
Huwezi kuiga "cha MTU"
...................
LIKE TU ..Dah! Sijui nichague salam ipi hapa maana zote nafit.
Madame smakapuku!!
Sasa wew ndio kapuku original madame ssijaelewa muhtasari kidogo nipatie labda na mimi nikapuku sina habari
Humkosi jukwaa la wakubwa huyuMpaka nikasema huyu MTU amepotelea wapi tena? Karibu sana
umejuaje kama wewe sio mshiriki wa hukoHumkosi jukwaa la wakubwa huyu