Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,937
Mpira umeisha tuneondoka na point 3Gori ngapi mpaka sasa
Mpira umeisha tuneondoka na point 3Gori ngapi mpaka sasa
Pamoja
Nyagei atakuja kuwawekeaMatokeo dada
Vibaya hivyo shemelaNyagei atakuja kuwawekea
hapana shemela ila nahisi kama tumerudi kwenye nafasi yetu juu ya kileleVibaya hivyo shemela
Dada mi huku siangalii TV najua wewe una matokeoNyagei atakuja kuwawekea
Tupe matokeo sasahapana shemela ila nahisi kama tumerudi kwenye nafasi yetu juu ya kilele
Tumefunga mbili kwa moja haya furahiniiiiiTupe matokeo sasa
Simba oyeeeeeeeeeTumefunga mbili kwa moja haya furahiniiiii


HONGERA SANA SIMBATumefunga mbili kwa moja haya furahiniiiii
OyeeeeeeeSimba oyeeeeeeeee
Umeshatoka hospitalNamshukuru Mungu naendelea vizuri![]()
Mungu yu mwemaASANTENI KWA MAOMBI YENU![]()
MBARIKIWE![]()
![]()
SanteeeeHONGERA SANA SIMBA
Jambo jema nala kumshukuru MunguNamshukuru Mungu naendelea vizuri![]()
Chattel type