Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Choo(ni)...main office ni nini
Choo(ni)...main office ni nini
nakumis mama kipenda roho changu ....najua unakosa amani nikiwa mbali na wewe ila soon ntakuwa available mda wotemiss u kiboko yangu mpk nakufwababy ushajifunza hayo maandishi ya marangi
mm sipendi yananiumiza macho au sijui ndio ushamba wangu
bora umerudi jana usiku walikua wanakuua kwa maneno shemela shululu na tetra
Isije ikawa mwanaume wa Dar! Ni chakula gani kibaya hapo?Kweli hata mi mkulima nakula lakini hicho hapana
mmmmmmh ila wewe ndo umepost aubaby mambo ya unene eti
Mapenzi yana nafasi yake ibada ina nafasi yakePole zake mwambie nafasi iliyopo ni kufanya ibada tu mapenzi hayana maana hata kidogo
najuaa mamaNimekumiss ujue
nakuombea baba angu urudi kama kawaida kweli napata shida ujue nimekuzoea sananakumis mama kipenda roho changu ....najua unakosa amani nikiwa mbali na wewe ila soon ntakuwa available mda wote
nimeweka rangi kuonesha msisitizo
Niliicopy tu niliikuta sehemummmmmmh ila wewe ndo umepost au
inabidi nifanye mpango make style niliyokukuta nayo sijaipendaa kabisaaanakuombea baba angu urudi kama kawaida kweli napata shida ujue nimekuzoea sana
aiseeeehNiliicopy tu niliikuta sehemu
wanakuulizia nikawambia upo porini hakuna network wanasema porini unawinda nini kila siku porini au ww ni jangili au unachoma mkaanajuaa mama
ebu nambie shululu na tetra walisemajee make nimeskip
![]()
Hii picha ni aibu
Umakini wa mtu huanzia kwenye mavazi
Nyerere alikuwa smart kimavazi hadi uongeaji,matendo n.k
JK ndo kabisa japo alikuwa "dhaifu"
Viongozi wengi mahiri mfano Mandela ukiwachunguza picha zao za ujanani utagundua kitu
Hivyo tusimshangae huyu mzee wa kuropoka na kukurupuka km mavazi yake
![]()
![]()
![]()
...........




Mmh babyinabidi nifanye mpango make style niliyokukuta nayo sijaipendaa kabisaaa

Sawa dada ila mi najua ibada ndo kila kituMapenzi yana nafasi yake ibada ina nafasi yake
hivi huyu ni bwana yulee?![]()
Hii picha ni aibu
Umakini wa mtu huanzia kwenye mavazi
Nyerere alikuwa smart kimavazi hadi uongeaji,matendo n.k
JK ndo kabisa japo alikuwa "dhaifu"
Viongozi wengi mahiri mfano Mandela ukiwachunguza picha zao za ujanani utagundua kitu
Hivyo tusimshangae huyu mzee wa kuropoka na kukurupuka km mavazi yake
![]()
![]()
...........
nambiee nimeambiwa mr T alikuwa anakumendeaaMmh baby![]()
Baba'ake Bashitehivi huyu ni bwana yulee?
ahaaaaaah sijui ndo alikuwa amepokea bumuBaba'ake Bashite
....