Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
hamna bana T hajanimendea muulize ata shululu au binamu obe tulikua wote jana usikunambiee nimeambiwa mr T alikuwa anakumendeaa
hamna bana T hajanimendea muulize ata shululu au binamu obe tulikua wote jana usikunambiee nimeambiwa mr T alikuwa anakumendeaa
hahaahaahaaaaaah sijui ndo alikuwa amepokea bumu
kwenye ubora wakeBaba'ake Bashite
....
hivi mlinzi yupo au ndo ulimkimbizaa ?hamna bana T hajanimendea muulize ata shululu au binamu obe tulikua wote jana usiku
ebuu nipe ripoti wewe mwenyewe nani kakusumbuaa with vivid exampleshamna bana T hajanimendea muulize ata shululu au binamu obe tulikua wote jana usiku
Umepata wa kuwasingizia au nisemewanakuulizia nikawambia upo porini hakuna network wanasema porini unawinda nini kila siku porini au ww ni jangili au unachoma mkaa
mlinzi yupo anafanya kazi vizuri sana hata jana tulikua naehivi mlinzi yupo au ndo ulimkimbizaa ?
tetra vip na shululu
ahaaaaaah wambie sio porini sema ni mtakuja sizonje ashaweka umemewanakuulizia nikawambia upo porini hakuna network wanasema porini unawinda nini kila siku porini au ww ni jangili au unachoma mkaa
Aliyenisumbua ni mmoja jina lake sikumbuki huwa anakuja huku kapuku akija nitakuonyeshaebuu nipe ripoti wewe mwenyewe nani kakusumbuaa with vivid examples
huwa siongei uongo vizuri anatambua hiloUmepata wa kuwasingizia au niseme
DuuuhAliyenisumbua ni mmoja jina lake sikumbuki huwa anakuja huku kapuku akija nitakuonyesha
kwahiyo niwe nasema upo mtakujaahaaaaaah wambie sio porini sema ni mtakuja sizonje ashaweka umeme
Nipe ruhusa nisemehuwa siongei uongo vizuri anatambua hilo
vipiiiiiDuuuh
semaNipe ruhusa niseme
Naona Leo unataka kuwagombanisha wanaumevipiiiii
Nimeahilisha dadasema
Inabidi uende kolomijeMambo yangu hayo![]()
![]()
mm naongea yaliyojiri simgombanishi mtuNaona Leo unataka kuwagombanisha wanaume
Nipo kibaha mkuu, ila kwa sasa dar na kibaha ni kitu kimoja, ni mipaka tu lakini ziliishaunganaDada shunie kaniambia uko dar